Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,985
- 69,375
- Thread starter
- #61
Uko sahihi, lakini sio kosa lao ni BIASHARA UNITED ndio mambo ya safari yalishindikanaView attachment 2176826
Hawa jamaa wa Libya wamefika robo fainali kwa mgongo wa timu ya Biashara ya Tanzania baada ya kushindwa kwenda Libya kwa Match ya marudiano