Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
GotchaNi uzushi tu uliokuwepo lakini wawl hawa hawana beef,,, na ilithibtishwa kuwa hawana beef baada ya Thr Weekend kushot video yake ya Reminder ambayo Drake aliuza sura,,, moja ya vdeo ambayo imejaa mastaa kbao akiwemo Asapy Rocky, YG, Montana,Drake,Mike Will Made It, Bryson Tiller, Travis Scot,,, so vdeo hyo baada ya kutoka ikaondoa uvumi uliokuepo kuwa wanabeef
Karbu km una swali lolote lnalomhusu Drizzy au rapper mwingne tuGotcha
Asiee hivi ushakaa chini ukamsikiliza Kendrick vizuri ? Acha kumfananisha Kendrick na vitu vya kijingaDrake noma sema team kendrick lamar hawatokuelewa
Drake ni illuminat puppet?Karbu km una swali lolote lnalomhusu Drizzy au rapper mwingne tu
Yap,,toka amerelease album yake View 6,,Tayal akajtambulisha rasmi,, maana namba 6 ni namba moja wapo ya hao illuminat,, pia bado anatumia logo ya bundi kwenye nguo zake,, ni ishara tosha kujua kuwa Drake ni illuminatDrake ni illuminat puppet?
Umesikiliza album yake ya DAMN mkuuAsiee hivi ushakaa chini ukamsikiliza Kendrick vizuri ? Acha kumfananisha Kendrick na vitu vya kijinga
B....be humble...Sit down !
Je huu wimbo wake mpya ambao kwenye video yake anafanya charitable works. Nitakuwa sahihi nkisema n blasphemy kwa jina alilouita?Yap,,toka amerelease album yake View 6,,Tayal akajtambulisha rasmi,, maana namba 6 ni namba moja wapo ya hao illuminat,, pia bado anatumia logo ya bundi kwenye nguo zake,, ni ishara tosha kujua kuwa Drake ni illuminat
Ndio Chief Kendrick ni lyrical gymnastUmesikiliza album yake ya DAMN mkuu
Scheming up ushawah kuisikiliza?Ndio Chief Kendrick ni lyrical gymnast
Kwenye Album yake ya DAMN nyimbo kama DNA ,Feel ,Elements nk Ukizisikilza lazima utampa sifa zake huyu jamaa
Siyo Drake sijui na mistari yake ana magari ambayo hajawahi yatembelea sijui nini nini
Kaka wivu ni sumu mbaya sanaWachafu wataiga...
Sikweli mkuu,, huu wmbo umekuwa controversal sana kuna wengne wanaenda mbali zaidi na wanaona km Drake anawazalilisha watu waskini vle kugawa hela na bado pia kuwachukua kwenye vdeo yake angeweza fanya vle bla ata kutoa shoting,,lkn jina la ngoma lenyew lnahtaj vdeo ya namna ile na vle kutoa hela just ameamua tu na wala sio blasphemy,,,Je huu wimbo wake mpya ambao kwenye video yake anafanya charitable works. Nitakuwa sahihi nkisema n blasphemy kwa jina alilouita?
Sna tatizo na kutoa mali na pesa. Shda ipo kwenye jina wimbo.Sikweli mkuu,, huu wmbo umekuwa controversal sana kuna wengne wanaenda mbali zaidi na wanaona km Drake anawazalilisha watu waskini vle kugawa hela na bado pia kuwachukua kwenye vdeo yake angeweza fanya vle bla ata kutoa shoting,,lkn jina la ngoma lenyew lnahtaj vdeo ya namna ile na vle kutoa hela just ameamua tu na wala sio blasphemy,,,
Hii sio mpya kwa Drake,, mwaka juzi kwenye bday ya kwanza 21 savage ambaye wanashare mwezi mmoja,, alimpa zawadi ya ferrari as a gift,,,
Kendrick ni lyrical tena sana tu,, kwa watu wanaofanya HipHop kwa muda huu,, Kendrick anaweza kuongoza akfuata JCole wako real sana,,, lkn album hii ya DAMN kabadirika kdogo,,, sikiliza ngoma km LOVE ameimba ,,,hii inaonesha kumbe kile anachofanya Drake knasound na kinauza zaidi that y Lamar kwenye album yake kajarbu,,,na hii LOVE kaifanya poa zaidiNdio Chief Kendrick ni lyrical gymnast
Kwenye Album yake ya DAMN nyimbo kama DNA ,Feel ,Elements nk Ukizisikilza lazima utampa sifa zake huyu jamaa
Siyo Drake sijui na mistari yake ana magari ambayo hajawahi yatembelea sijui nini nini
Ndio sasa huko kaimba nini si ndio hayo ya magari sijui na niniScheming up ushawah kuisikiliza?
All the stars umeisikia?Kendrick ni lyrical tena sana tu,, kwa watu wanaofanya HipHop kwa muda huu,, Kendrick anaweza kuongoza akfuata JCole wako real sana,,, lkn album hii ya DAMN kabadirika kdogo,,, sikiliza ngoma km LOVE ameimba ,,,hii inaonesha kumbe kile anachofanya Drake knasound na kinauza zaidi that y Lamar kwenye album yake kajarbu,,,na hii LOVE kaifanya poa zaidi
Yap,,Rapper wengi ni illuminant,,, post malone rock star imejionesha,,,Sna tatizo na kutoa mali na pesa. Shda ipo kwenye jina wimbo.
Halafu post malone nao n illumint?
Yap,,,yupo na SZA,,All the stars umeisikia?
Si kila mtu anaelezea hali yake.Ndio sasa huko kaimba nini si ndio hayo ya magari sijui na nini
Kuna sehemu anasema I like convertible Bentley's and houses deep the in hills ..
Na nyingine sijui
I used to drive the Acura to school
Now I don't touch the wheel unless it's new
Mna kazi sana wafuasi wa Drake