Jameni kuna Gazeti lina kibonzo cha watia nia wote ila Pinda Bench limeanguka na kazilai chini.
Huku Membe akitimua mbio kwa ushindi.
Nimeiona AzamTv, mwenye nayo tafadhali
Fungua hapa kilishawekwa jf toka asubuhi https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/882971-dr-yaani-hunijui.html
Dah! aise lile gazeti limetia fora kwa kibonzo kizuri kwan hata pinda akiliona lile gazeti atahamaki
Dah! aise lile gazeti limetia fora kwa kibonzo kizuri kwan hata pinda akiliona lile gazeti atahamaki
Pinda kazimia au anaigiza??
Danny Mzeno.