Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

"wabarikiwe wazazi wako waliokuzaa"
 
Team Lowasa leo kule kwa Wamwela wamewaambia mnaishi kwa matumaini siku nguvu za dawa zikishindwa mna R.I.P.
 
Last edited by a moderator:

imeandikwa katika kitabu kitakatifu biblia ni heri kuowa ama kuolewa kuliko kuaka tamaa dr. Slaa amechagua fungu lililojema kuoa .
 
Mumshawishi kugombea urais Dr.Slaa? Hebu acheni masihala mumshawishi wakati Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema nani mwingine ambaye kajitokeza kugombea? Hamna yeyote atakaye jaribu kugombea urais Chadema kama ajafukuzwa kama paka.
 
Sijakiona cha maana kuiongoza nchi kama Tz labda Ubunge wakimboni kwake mambo yote yaliyobaki ni muhimu kwa kondoo za bwana.
 
Mumshawishi kugombea urais Dr.Slaa? Hebu acheni masihala mumshawishi wakati Dr.Slaa ndiyo mgombea urais wa kudumu wa Chadema nani mwingine ambaye kajitokeza kugombea? Hamna yeyote atakaye jaribu kugombea urais Chadema kama ajafukuzwa kama paka.
we ni kilaza 100%
 
Tz kwa sasa sijamwona wakumlinganisha na Dr.

Tunamuomba ate nia na UKAWA tupeni huyu mtu.
 
Kamanda! Dr.Slaa anasimamia maadili gani? Hivi unajua Dr.Slaa alishaitelekeza familia yake na kwenda kupora mke wa mtu na kumpa ujauzito.

Mpaka saa hivi Rose Kamili mzazi mwenzake kafungua kesi ya kudai fidia kwa Dr.Slaa kwa kutelekeza watoto.

Maadili yapo kamanda labda tufahamishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…