mzalendo mtanganyika
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 309
- 200
Overrated!!
CDM aren't realy doing well!, but they just think they are doing well lakini wako nyuma sanaa. Take it from me the avarage citizen.
CDM would be better off now with Dr Slaa than, who ever they have now.
nooo hyo wabunge 150 si propaganda zenu wapi imeandikwa kuwa atakuja na wabunge 150?? hilo swali alishawajibu akasema "mnataka wote waliokuwepo kule waje huku sasa nani atakayetupa siri zao" trust me HAO ambao magufuli anaowaita wasaliti ndio walisaidia kumpa ushindi mkubwa lowassa kupata kura nyingi ndani ya ccm.Lowasa alipigiwa kura kweli? Zilikuwa ngapi?
Kwa hiyo hao wabunge 150 walikuwa misukule?
Lubuva angepora matokeo ya ubunge wakati hawakugombea?
Hacha utani
Yupo nyumbani kwakeNi siku nyingi zimepita tangu hekaheka za uchaguzi mkuu 2015 sijamsikia kabisa aliekua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 Dr. Wilbrod Slaa.
Kwa mnaofahamu tujuzeni yupo wapi? Je kujitoa kwake CHADEMA ndio kumempoteza? Je kuna chombo chochote cha habar kimewahi kumtafuta na kumuuliza maoni yake juu ya utendaji wa serikali ya awamu ya tano? Kama ndio maoni yake nia yapi?.
Haaaahaaaaaa ccm bhana Dr.slaa alipokuwa chadema mbona mlimuita padri mzinifu sijui anatembea na mke mwenye size ya kuwa binti yake mara cjui chama kimemshinda toka lini leo hii amekuwa mzuri kwenu na nyie ndio mnafanya watu waamini mlimtumia kutaka kuibomoa UKAWA maana toka aondoke wana ccm wanamuita shujaa na mpinzani wa kweli. Ccm muache unafki mkae kimya mkiwa mnamtetea ndio mnazidi kufanya watanzania waamini mnamtumia.
Is like being marooned in an island.yupo Canada anakula bata
kuna msemo husemwa [HASHTAG]#fedha[/HASHTAG] fedheha watu walipenda fedha wakalisusa jembe Dr slaa na zzk sasa wanaumbukaengineer aliyeshirikiana na kina zitto na kuwafanya Vijana wa kileo kufatilia siasa na Hata kuipenda chadema
Canada zipo nyingi sana, dar peke yake zipo 2, bunju na Tegeta, huenda na karatu ipoMbona yupo huku kitaa karatu nmemuona wiki iliyopita Mara mbili...au ndio mnapaita Canada?
Bora umemsaidia f foxyNadhani.
Labda atengue uamuzi kama mapumbaAtarudi Bongo kuomba msamaha arudi kwenye nafasi yake Chadema
Wacha kabisa...tuliumia hadi sitaki siasa tenaaasindano iliyowachoma CHADEMA hadi leo wanasikilizia maumivu
Ila siri yao!
yupo au unatariafa nyingine juu yakeNi siku nyingi zimepita tangu hekaheka za uchaguzi mkuu 2015 sijamsikia kabisa aliekua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 Dr. Wilbrod Slaa.
Kwa mnaofahamu tujuzeni yupo wapi? Je kujitoa kwake CHADEMA ndio kumempoteza? Je kuna chombo chochote cha habar kimewahi kumtafuta na kumuuliza maoni yake juu ya utendaji wa serikali ya awamu ya tano? Kama ndio maoni yake nia yapi?.