HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Nov 29, 2012 #61 Mishale imekuwa mingi hivyo kaamua kupotezea na kukaa mbali na siasa
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Nov 29, 2012 #62 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/336725-dr-aman-walid-kabourou-ashinda-nafasi-ya-m-kiti-ccm-mkoa-wa-kigoma-2.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/336725-dr-aman-walid-kabourou-ashinda-nafasi-ya-m-kiti-ccm-mkoa-wa-kigoma-2.html
M mawenge JF-Expert Member Joined Nov 26, 2012 Posts 286 Reaction score 71 Nov 29, 2012 #63 Royals said: Kigsmboni ya Dar au ya Dodoma ? Click to expand... ya dar .mkabala na beach moja ya wahindi.
Royals said: Kigsmboni ya Dar au ya Dodoma ? Click to expand... ya dar .mkabala na beach moja ya wahindi.
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Nov 29, 2012 #64 Traitor!
Mpingapumba Member Joined Nov 28, 2012 Posts 33 Reaction score 4 Nov 29, 2012 #65 Safari_ni_Safari said: Hata kama.........na je kwa nini amekuwa bubu........mwanasiasa muhimu kusikika Click to expand... Kwa hilo siwezijua maana ni sababu zake binafsi.Ila nnacho himiza ni kwamba"bila umoja hakuna maendeleo hiyo mambo ya kuchaguana kwa kuangalia chama yatalikost taifa,cha msingi ni kuangalia mtu anaefaa na sio chama chake mzee "
Safari_ni_Safari said: Hata kama.........na je kwa nini amekuwa bubu........mwanasiasa muhimu kusikika Click to expand... Kwa hilo siwezijua maana ni sababu zake binafsi.Ila nnacho himiza ni kwamba"bila umoja hakuna maendeleo hiyo mambo ya kuchaguana kwa kuangalia chama yatalikost taifa,cha msingi ni kuangalia mtu anaefaa na sio chama chake mzee "
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 18,543 Reaction score 14,803 Nov 29, 2012 #66 saitama_kein said: Mnh...... Ila hata mie ningependa kujua yupo wapi na afanya nini kwa sasa?? Click to expand... WASALIMIE KASULU KIONGOZII :madgrin: :madgrin:
saitama_kein said: Mnh...... Ila hata mie ningependa kujua yupo wapi na afanya nini kwa sasa?? Click to expand... WASALIMIE KASULU KIONGOZII :madgrin: :madgrin:
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,793 Reaction score 7,165 Jul 2, 2015 #67 Amejiunga na lowassa? Hakika naye ni mpenda pesa aisee.
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Jul 3, 2015 #68 Anaishi Kigamboni Dar
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,647 Reaction score 272,448 Jul 3, 2015 #69 usaliti ni laana mbaya sana ! huyu jamaa elimu yake yote imeishia kwenye kufuta vumbi meza za ccm , kapigika vibaya sana !
usaliti ni laana mbaya sana ! huyu jamaa elimu yake yote imeishia kwenye kufuta vumbi meza za ccm , kapigika vibaya sana !
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,647 Reaction score 272,448 Jul 3, 2015 #70 Nyakageni said: Anaishi Kigamboni Dar Click to expand... si wanasema ni mwenyekiti wa serikali za mitaa huko ujiji , anaishi vipi tena DAR ES SALAAM ?
Nyakageni said: Anaishi Kigamboni Dar Click to expand... si wanasema ni mwenyekiti wa serikali za mitaa huko ujiji , anaishi vipi tena DAR ES SALAAM ?
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Jul 3, 2015 #71 Erythrocyte said: usaliti ni laana mbaya sana ! huyu jamaa elimu yake yote imeishia kwenye kufuta vumbi meza za ccm , kapigika vibaya sana ! Click to expand... Laana ni mbaya sana, nakumbuka maneno yake viwanja vya Mwanga Centre baada ya kuondoka alisema Zitto namfahamu vizuri naye atatoka tu na kuna CCM
Erythrocyte said: usaliti ni laana mbaya sana ! huyu jamaa elimu yake yote imeishia kwenye kufuta vumbi meza za ccm , kapigika vibaya sana ! Click to expand... Laana ni mbaya sana, nakumbuka maneno yake viwanja vya Mwanga Centre baada ya kuondoka alisema Zitto namfahamu vizuri naye atatoka tu na kuna CCM
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,647 Reaction score 272,448 Jul 3, 2015 #72 Nyakageni said: Laana ni mbaya sana, nakumbuka maneno yake viwanja vya Mwanga Centre baada ya kuondoka alisema Zitto namfahamu vizuri naye atatoka tu na kuna CCM Click to expand... asante sana mkuu .
Nyakageni said: Laana ni mbaya sana, nakumbuka maneno yake viwanja vya Mwanga Centre baada ya kuondoka alisema Zitto namfahamu vizuri naye atatoka tu na kuna CCM Click to expand... asante sana mkuu .
M mkigoma JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 1,180 Reaction score 309 Jul 3, 2015 #73 Ni mweyekiti wa CCM MKOA WA KIGOMA
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,346 Reaction score 9,881 Jul 3, 2015 #75 jjmm said: Ameolewa Click to expand... Makubwa!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,647 Reaction score 272,448 Jul 3, 2015 #76 mkigoma said: Ni mweyekiti wa CCM MKOA WA KIGOMA Click to expand... kazi kubwa ya wenyeviti wa ccm wa mikoa ni kusimamia mbio za mwenge na kumpokea kinana ; je kabour anastahili kazi dhaifu namna hii ?
mkigoma said: Ni mweyekiti wa CCM MKOA WA KIGOMA Click to expand... kazi kubwa ya wenyeviti wa ccm wa mikoa ni kusimamia mbio za mwenge na kumpokea kinana ; je kabour anastahili kazi dhaifu namna hii ?