na alaaniwe! Traitor
Kuna kaukweli hapa.Sikilizeni! Dr Aman Walid Kabourou aliihama CDM kwa pesa ya EPA. Mwenye jukumu la kuhakikisha anahamia CCM alikuwa Maranda ambaye magamba wammefunga jela. Maranda na Dr Kabourou wana uhusiano wa kidugu, na ndiyo sababu kila siku kesi ya Maranda ilipokuwa inatajwa ama kusikilizwa pale Kisutu Dr Kabourou alikuwepo. Baada ya kukwapua pesa ya EPA, Mangulla akampa Maranda kazi ya kuhakikisha analirejesha jimbo la Kigoma Mjini CCM. Kumbuka waratibu wakuu wa EPA ndani ya CCM walikuwa Mangulla, Rostam, Mama Meghji na Salome Mbatia. Dr Kabourou akapewa sh 147 millioni kutoka zile za EPA, aliandikiwa hundi na Maranda. Ushahidi upo kwenye ripoti ya uchunguzi ya Hosea, Mwanyika na Mwema. Dr Kabourou akaahidiwa ubunge wa Afrika Mashariki, akapata. Siku hizi sijui alipo! Atakuwa anatafutiwa nafasi, subirini.
Nikikumbuka mahali ambapo chadema ilikuwa imefikia mkoani kigoma, halafu huyu jamaa akaja kutibua harakati...acha tu apotee.Homie, huyu jamaa alivuruga sana harakati za demokrasi kwa kuwasaliti vijana wa Mwanga, Bangwe, Buzebazeba, Gungu, Majengo, Kibirizi na Ujiji. Sasa anavuna matunda ya usaliti wake, magamba walimtumia sasa wamemtelekeza.
Vijana wa KG walikesha kule ukumbi wa kuhesabu kura Bangwe kuhakikisha hakuna kura haziingizwi ukumbini wakati wa kuhesabu. Walipigwa na FFU kwa ajili yake, matokeo yake usaliti.
Historia ya Dk Kaburu hunifanya nisimuamini sana Zitto.
Nikikumbuka mahali ambapo chadema ilikuwa imefikia mkoani kigoma, halafu huyu jamaa akaja kutibua harakati...acha tu apotee.
I know what you mean mkuu.Hizi Post zingine zina nia ya kutoa watu machozi tu. why discuss this Pathetic Monstor.
Wachumiatumbo kama hawa sijui wataficha wapi sura zao....Mara ya Mwisho alionekana kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani aliipigia kampeni CCM pale Kirumba mwaka huu. Baada ya hapo kawa kimya kabisa. Nafikiri anaendelea na mradi wake wa chuo kinaitwa WESTERN TANGANYIKA COLLEGE OF BUSSNESS EDUCATION-KIGOMA
Anakula urojo kwa kuthamini mbinu za kuangamiza upinzani. Nasikia kahamia Kigamboni, akila pensheni kwa dhuluma hii.
Homie, huyu jamaa alivuruga sana harakati za demokrasi kwa kuwasaliti vijana wa Mwanga, Bangwe, Buzebazeba, Gungu, Majengo, Kibirizi na Ujiji. Sasa anavuna matunda ya usaliti wake, magamba walimtumia sasa wamemtelekeza.
Vijana wa KG walikesha kule ukumbi wa kuhesabu kura Bangwe kuhakikisha hakuna kura haziingizwi ukumbini wakati wa kuhesabu. Walipigwa na FFU kwa ajili yake, matokeo yake usaliti.
Historia ya Dk Kaburu hunifanya nisimuamini sana Zitto.
Pengine dhambi ya kuuza "wanyonge" kwa kuvuruga upinzani inamtesa. Sidhani kama ana amani hata kama atakuwa na mali kiasi gani. Pengine dhamira inamsuta na anajutia makosa aliyoyafanya japo inamuwia ngumu kujitokeza hadharani kuomba msamaha.Huyu jamaa alizingua saana, nami mara nyingi nilikuwa najiuliza huyu jamaa yuko wapi, maana amekuwa kimya sana.
Mkuu unamaanisha kaishaifanya kazi!Kaisha kazi... CCM ni Cult hiyo
Mkuu unamaanisha kaishaifanya kazi!