dr wa simu

dr wa simu

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
wakuu ninaomba maelekezo cm yangu nikiongea na mtu yeye hanisikii vizuri sbbu kunakuwa na makelele mengi hata kama sehemu niliyopo ni tulivu sana sijui ni tatizo gani?
 
Ipeleke kwa fundi wa simu aisafishe na kurekebisha kinasa sauti (mic).
 
Hilo tatizo wakati mwingine linasababishwa na uchafu/ mchanga kuziba tundu la MIC ambalo mara nyingi kanakuwa katundu kadogo kwenye housing ya simu upande wa chini kwenye simu ama chini ya button. hilo tundu likiziba linasababisha kelele flani kwako wewe uliyepiga na kwa mtu wa upande wa pili. Waweza tumia ncha ya sindano kwa kuzibua tundu kwa uangalifu ile sindano isizame sana ndani inaweza ika haribu mic, TATIZO LIKIENDELEA WAONE MAFUNDI SIMU.
 
aina gani ya simu mkuu zingine zitegemea sana jinsi ulivyo iset eg unaweza ukaongea sauti ikasikika ya mtoto au mwanamke
 
Back
Top Bottom