Mi kinachonishangaza ni baadhi wa wanachama wa CCM ambao wanamponda Dr Slaa kila siku hapa ndo wamekuwa wateteaji kwamba ameonewa.
Nia ya CCM ni CDM ife na kama wanavyodai Lowassa anaenda kuiua CDM sasa kwa nini wana CCM wasifurahie hilo jambo? Au tunapakana mafuta kwa mgongo wa chupa? Ni nini ambacho wanaogopa?
cc mwekundu
2010 slaa alishinda nini? njaa? au?2010 Dr. Slaa alishinda mkaiba kura... vibaka nyie, awamu hii haiibiwi kitu, Lowassa anajua mbinu zenu zote za kipumbavu
Dr slaa hastahili haya aliyofanyiwa na mbowe pamoja na Mzee Mtei, mark my word lazima watu wamfuate ZZK na kile chama kweli wanayoyataka Mtei na Mbowe ndo maamuzi
Dawa ni kumkabidhi fomu aongoze jahazi
Yaani Josephine avuje damu halafu regina awe first lady!!
2010 Dr. Slaa alishinda mkaiba kura... vibaka nyie, awamu hii haiibiwi kitu, Lowassa anajua mbinu zenu zote za kipumbavu
Dr slaa hastahili haya aliyofanyiwa na mbowe pamoja na Mzee Mtei, mark my word lazima watu wamfuate ZZK na kile chama kweli wanayoyataka Mtei na Mbowe ndo maamuzi
Una uhakika wa kimaandishi au kimatamshi kuwa Dr. Slaa hakuhusika katika maamuzi ya kumleta Lowassa CDM?
CDM siku hizi ni maarufu ,wamevuja jasho ,wamepigwa mabomu yote Dr alivumilia katika kujenga falsafa ya chama ,siamini na wala sikubali suala la lowassa ameonekane ni best substution ya Dr slaa otherwise kama kweli lowassa ana nia ya dhati na sio uroho wa madaraka awe mwanachama tu wa kawaida u president slaa ana fit na watu wana imani naye muda mrefu
Kwani huko CDM ni Slaa tu pekee aliyekutana na kadhia yote hiyo?
Kwani Urais ni fadhila kwamba waliotaabika kujenga falsafa ya chama ndio wenye kupewa dhamana ya kuwakilisha vyama vyao kwa nafasi ya Urais?
Kama unaamini katika hayo basi hata CCM wamekosea kwa kumpa nafasi Dk Magufuli (wa juzi tu) na kuwatupa mbali wazee walioshiriki harakati za ukombozi wa nchi kina Prof Mwandosya, Sitta n.k
Slaa kama unaona CHADEMA hawajakutendea haki njoo CCM tutakupokea. Ila Watanzania kwa sasa wanamuhitaji Lowassa awaongoze kupitia UKAWA.
Don't ignore the fact kwa sasa Dr slaa ni presidential material kwa CDM na Ukawa pia hata Cut,TLP wanalijua hilo kabla ya ujio wa manywele
Kumsamehe lowassa Dr slaa anaweza fanya ivo. Ila kama atakubaliana kuwa lowassa awe mhombea uraisi kwa tiketi ya ukawa basi sito mwamini tena Dr slaa. Maana lowassa ni mroho wa madaraka tena sana tu.
Don't ignore the fact kwa sasa Dr slaa ni presidential material kwa CDM na Ukawa pia hata Cut,TLP wanalijua hilo kabla ya ujio wa manywele
Uongozi wetu wa chama chini ya Mbowe, Dr. Slaa, Baregu, Marando, Lissu, Mnyika, Mwalimu, Mdee tunaamini wapo makini, Mbowe mwenyewe alihakikisha kuwa haikuwa kazi rahisi kumpata Eddo, sasa yupo kwenye 18 zetu UKAWA tunatoboa.
Kwanza ieleweke kuwa CHADEMA tuna utaratibu wetu wa kumpata mgombea urais, tofauti na vyama vingine. Dr. Slaa angelikuwa anataka urais kwa utashi wake angekwisha chukua form zamani. Lakini kwasababu nia ni kuiondoa ccm madarakani ndiyo maana walikaa kama kamati wakafikia muafaka wa kumleta Eddo...... Pia ieleweke kuwa Dr. Slaa hajawahi kuota ndoto ya kuwa rais, lakini ameota ndoto ya kuifuta CCM. Kazi ya Dr. Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA ni kubwa na ya muhimu sana