Dr. Ulimboka ni MSALITI nambari moja

Yu wapi sasa? Yu wapi atueleze ukweli wa madhila aliyotendewa? Yu wapi aweke wazi majina ya watesaji na sababu zilizowafanya wamtese? Yu wapi aseme kama Msangi,RAMA AU mkenya alikuwapo matesoni mwake? Yu wapi amtaje aliyempora wallet yake? Yu wapi atoe tamko juu ya hatma ya walivyokuwa wanadai kama Madaktari? Hayupo. Kimyaaaaa. Ni msaliti.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom