Dr. Ulimboka ni MSALITI nambari moja

dr. Ulimboka is sufferring from amnesia. Amekwishawasahau watu waliomtesa hata wewe ungekuwa na amnesia kama ungeng'olew kucha na jino. we mwache huyo ndugu akae kwa amani.

kumbe! Na pia dr. Ana familia! So anaangalia maslahi ya familia yake.. Kuna watu washalichulia hili jambo kisiasa
 
Tuendelee kusubiri Mkuu lakini hayo ya vijiweni nami nimeyasikia lakini sikutaka kuyapa uzito mkubwa.

Mimi bado naamini anajipanga. Ila pia naye ana mtizamoa wake kuhusiana na kusema au kutosema yaliyojiri kwa kupima mambo mengi. Naamini one day atafunguka kama hajafungwa kama inavyosemwa vijiweni!!
 
watanzania pumbaf sana. Wako kwenye key board wanahamasisha wenzao, wakiambiwa maandamano hawaendi. Ukitrace back,hawa wote walikuwa wanawakejeli madaktari wakati wa mgomo na leo wanaulizia matokeo au feedback. Kina Kijo Bisimba waliandaa maandamano na kuhamasisha watu washiriki lakini tuliohudhuria tulikuwa wachache mno. Leo hii mtu anataka ukombozi na kuutafuta hataki.

ww ulioutafuta 2pe feedback zake acha kujipa sifa na ujiko maneno tu hayo umeyatoa
 
Chezea hela wewe aka pesa,mpunga,mshiko,njuluku!baba yako tu anaweza kukusaliti sababu ya hela sembuse ULIMBOKA?Nasikia kapewa bilioni kadhaa kaufyata kimya! Ni muongo sana yule njaa tu ndio ilikuwa inamsumbua!Chezea pesa weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
sasa kakusaliti wewe kwa lipi?

kama kuteswa aliteswa yeye
akiamua kusamehe wewe umesalitiwa vipi?

madaktari si wana viongozi wengine?
angekufa je.wangeacha kudai madai yao?

Muache atazame maslahi ya mkewe na watoto....wake

wewe kama una ukereketwa haswa endesha mapambano,hakuna aliekuzuia...

Nafikiri kwa utamu wa majibu haya atakuwa kashiba! tatizo itakuwa outlet tu! najua yupo karibu na choo!! lol!!
 
Fanya ziara ya kutembelea msitu wa pande ukirudi ndio utapata sababu ya kwa nini Dokturi ameamua kukubali yaishe.
 
hizi tume bwana,zinaundwa na majibu yake sijawahi hata kuyasikia.
Any way,tusubiri kwani subira yavuta heri...
 
mi nadhani itafute kwanza tume ya makengeza/kova itae jibu then ndio uulize mambo mengine.
kwanza walishasema shwala liko mahakamani lisizungumziwe.
na vyema ukaiuliza serikali ya ccm ripoti yao iko je na wamefikia wapi.

siyo makengeza...yule ana chongo.

makengeza ni mtu anakuwa na macho yake mawili lakini yana khitilafu fulani katika kuangalia..anaweza akaonekana kama anaangalia kulia kumbe anaangalia kushoto na kinyume chake.

chongo...ni mtu mwenye jicho moja tu zima kama huyo mkuu....lile la pili ni feki au maarufu jicho la kondoo/mbuzi.
 
Aseme nini zaidi ya haya hapa.

images
 
Mwacheni docta apumzike,its not easy kwa hali aliyopitia aanze kuropoka saizi.km umewahi kupata ajali recall that incidence utaelewa.
 
Nilikua mshabiki wake,
Lakini kwa sasa nishajitoa. Naamini atakua kadakishwa zake, katulia!!

weeeeeeee! ishia hapo hapo, shabiki kwani alianzisha chama au timu ya mpira? mphewwww! (msonyo wa kinaijeria)
 
Yale waliyomfanyia ilikuwa haki yake ayapate, mwache akae kimya na kiherehere chake cha kaziramfuka!!
 
Yu wapi sasa? Yu wapi atueleze ukweli wa madhila aliyotendewa? Yu wapi aweke wazi majina ya watesaji na sababu zilizowafanya wamtese? Yu wapi aseme kama Msangi,RAMA AU mkenya alikuwapo matesoni mwake? Yu wapi amtaje aliyempora wallet yake? Yu wapi atoe tamko juu ya hatma ya walivyokuwa wanadai kama Madaktari? Hayupo. Kimyaaaaa. Ni msaliti.

wengi wetu tulisubiri kwa hamu kubwa kusikia kutoka kwake ila the fact kwamba hajasema chochote mpaka sasa haitupi sisi haki ya k
 
....haitupi sisi haki ya kumhukumu eti kwamba ni msaliti. tamu na chungu ya kipigo kile anaijua Uli na Mungu wake. I can imagine familia yake inashukuru Mungu kwamba at least kapona. sis hatuwezi jua familia yake imemshauri nini. after all, the decision to talk or not talk about the ugly scenario is entirely his and none of us should judge him!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom