dr. Ulimboka is sufferring from amnesia. Amekwishawasahau watu waliomtesa hata wewe ungekuwa na amnesia kama ungeng'olew kucha na jino. we mwache huyo ndugu akae kwa amani.
Mimi bado naamini anajipanga. Ila pia naye ana mtizamoa wake kuhusiana na kusema au kutosema yaliyojiri kwa kupima mambo mengi. Naamini one day atafunguka kama hajafungwa kama inavyosemwa vijiweni!!
Nilikua mshabiki wake,
Lakini kwa sasa nishajitoa. Naamini atakua kadakishwa zake, katulia!!
watanzania pumbaf sana. Wako kwenye key board wanahamasisha wenzao, wakiambiwa maandamano hawaendi. Ukitrace back,hawa wote walikuwa wanawakejeli madaktari wakati wa mgomo na leo wanaulizia matokeo au feedback. Kina Kijo Bisimba waliandaa maandamano na kuhamasisha watu washiriki lakini tuliohudhuria tulikuwa wachache mno. Leo hii mtu anataka ukombozi na kuutafuta hataki.
sasa kakusaliti wewe kwa lipi?
kama kuteswa aliteswa yeye
akiamua kusamehe wewe umesalitiwa vipi?
madaktari si wana viongozi wengine?
angekufa je.wangeacha kudai madai yao?
Muache atazame maslahi ya mkewe na watoto....wake
wewe kama una ukereketwa haswa endesha mapambano,hakuna aliekuzuia...
mi nadhani itafute kwanza tume ya makengeza/kova itae jibu then ndio uulize mambo mengine.
kwanza walishasema shwala liko mahakamani lisizungumziwe.
na vyema ukaiuliza serikali ya ccm ripoti yao iko je na wamefikia wapi.
Mwacheni docta apumzike,its not easy kwa hali aliyopitia aanze kuropoka saizi.km umewahi kupata ajali recall that incidence utaelewa.
Nilikua mshabiki wake,
Lakini kwa sasa nishajitoa. Naamini atakua kadakishwa zake, katulia!!
Yu wapi sasa? Yu wapi atueleze ukweli wa madhila aliyotendewa? Yu wapi aweke wazi majina ya watesaji na sababu zilizowafanya wamtese? Yu wapi aseme kama Msangi,RAMA AU mkenya alikuwapo matesoni mwake? Yu wapi amtaje aliyempora wallet yake? Yu wapi atoe tamko juu ya hatma ya walivyokuwa wanadai kama Madaktari? Hayupo. Kimyaaaaa. Ni msaliti.