Dr Ulimboka Jamani ANAITAJI MSAADA



Nadhani wewe ndo unataka kujikosesha heshima, tuambie basi wewe kwa nini mwanahalisi lilifungiwa?
Huduma gani za afya unazozungumzia wakati viongozi wako hawatibiwi hapa wanakwenda appolo au na wewe ni mmoja wao? ndo maana unapinga hoja ya jamaa.

Ulimboka ali tu-let down kwa taarifa yako, haya mambo ya kumuuliza eti alifanyia kazi namna gani taarifa alizozipata kutoka mwanahalisi ni upuuzi tu kwa mtazamo wangu, wapo waliotakiwa kuchukua hatua na hawakufanya hivyo, unawajua; watu dhaifu. kwa hiyo give BAHARIAA a break.
 
Last edited by a moderator:

Ni mambo ya kawaida kila sehemu na ni balance of nature;KWA SHUJAA HUENDA MSIBA KWA MWOGA HUENDA KICHEKO;Alipotoa tamko alikuwa amepanda pipa kuelekea kusikojulikana,sasa amerudi lini???.Hata hivyo ipo siku watanzania wataelewa uongo wa serikali hii na wapuuzi wachache kama wewe ndio mnaona vifo baada ya mgomo lakini wanaokufa kwa kukosa hata panadol ni wengi sana.Kama ni kweli Doctor amechoka Namuombea kwa Mungu apate afya njema.Jaribu jiulize hata cloves zinakosekana,CT-scan ambayo bei yake ni rahisi kuliko shangingi ni moja tu na kipindi hicho ilikuwa mbovu.Badilika wanaokufa kwa kukosa huduma ni wengi kuliko waliokufa siku zile za mgomo.
 
tulisikia serikali ya ccm kushirikiana na kamanda kova walikubaliana kumpa 50mil lakini zilimfikia mil5 na kuhaidiwa balance soon,mpaka kesho hamna kitu,jamaa alitaka kutengeneza hela kwenye issue yakamkuta,ndio matokeo ya wasaliti
 
 
Last edited by a moderator:
Na bado hadi aokote makopo mwaka huu, laana ya damu za watu. Huu ni ujumbe wa Mungu kwa wote mnaodhani maisha ya mwanadamu ni ngazi ya kujipatia umaarufu.

Tafadhali angalia unachokiandika kisije leta uhasama ndani ya jamii, na ukumbuke sikuzote maendeleo hayaji ivi ivi mpaka upande mmojawapo uathirike..
 
Ulimboka mwenyewe kitendawilil. Aliahidi kuweka mambo hadharani akaishia kuondoka hadharani. Lolote kwa Tanzania lawezekana. Ila kama hakujifunza hatajifunza. Aliowatetea walimgeuka wakaingia mzigoni na kumuacha na maumivu yake. Mambo mengine yanatia kinyaa. Tumekubali nchi yetu iendelee kutekwa na mafisi na mafisadi.
 
Anahitaji msaada gani sasa ..kuwa wazi!! Tumsaidie !!
 
Ndo maana alipomtaja aliyempigia cm kwa mara ya mwisho alijibiwa taarifa zake ni upuuzi mtupu mbona alipouwawa RPC Balow haikuchukua sekunde wauwaji wakakamatwa ila wengne wenye uthibitisho kamili ni UPUUZI,Sishangai Mwakyembe aliwindwa kuanzia Iringa na kugongwa na roli lkn akawa anadata kamili wakawa hawataki kusiki maelezo yake kabisa hv jaman iweje niunguliwe nyumba jiran wa nyumba y kumi ndo atoe maelezo ya chanzo cha moto ndani mwangu? Mwakyembe alipozidi ukaliWakagwaya na yale malumbano yaliisha baada ya IGP kwenda kumsalim kwake ndo hatukupata tena habari magazetini.TANZANIA OYEEEEEEEEEE
 
Huyu Dr.wa ccm sio wa kumwamibi amesha mzushia Zitto anajenga gorofa kimara
 
Last edited by a moderator:
Na bado hadi aokote makopo mwaka huu, laana ya damu za watu. Huu ni ujumbe wa Mungu kwa wote mnaodhani maisha ya mwanadamu ni ngazi ya kujipatia umaarufu.

kama umekosa hoja ya kuandika,ni vyema ufunike domo,na kusoma mawazo ya wenzio thn ujifunze,uhuru wa kutoa mawazo ni kwa kila raia,lkn uhuru bila mipaka ni ushetani!!
 

temeke hospitali kuna wagonjwa wanalala kati ya 2-3 kitanda kimoja, achilia mbali wanaolala chini...... Unanunua kuanzia gloves hadi dawa kwenye famasi nje ya hospitali ......... Nini ct scan, xray tu jana inashindikana kupiga unaambiwa mbovu........ Hizi ndo huduma tunazopewa watz?????? Wao wanatibiwa ulaya......
 
Cha kushangaza waTanzania mkishapata maelezo na yote yatawasidia nini? Mangapi mmepata na mmyafanyia kazi. Hata mkilaani mnajisumbua bure mpango wa Mungu kwa mwanadamu ni kumwabudu. Hayo mengine yenu. Dr. Ulimboka nabaki palepale Usisahau kumshukuru Mungu na kumkabidhi Mungu wale wote waliohusika na hayo mateso yako. Yeye ndiye Hakimu. Achana na watz ni wanafiki saaaaaaaana!
 
Naona Ighondu anajaribu kutafuta close circuit television camera (CCTV) zilizopo maeneo hayo alipoonekana Dr. Ulimboka.

kwa nini Ighondu asipelekwe GOMA DRC akapambane na M23 kama anaona ni ushujaa kushambulia mtu asiye na silaha
 
huyu jamaa amrudie mungu tu awe mlokole, ndio njia pekee atapona..huwezi cheza na serikali ya bongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…