Dr Ulimboka Jamani ANAITAJI MSAADA


there is high possibilty that it is either you are passing through kindergaten stage or u r working in the same office with ramadhan ighondu
just try to think what is inside your head.
 
Huyo mtu labda hapati msaada kwa vile inaweza kuwa bad luck kumsaidia. Lakini mtu yoyote ambaye hali yake ni mbaya anapaswa kusaidiwa.
 
Kwanini wasikae kimya kama mtu mwenyewe haeleweki? watu walirisk maisha yao nafamilia zao kushughulia afya yake irudi kuwa sawa wakitegemea akipona ataweka kila kitu hadharani...badala yake amefanya nini?

kwani hakuweka mambo hadharani.... kumbukumbu zangu zimepotea.
 


Hivi mtoa mada kuna pahala aliitaja Chadema??

umeguswa??
 
wewe umemsaidiaje?.au wewe haumuonei huruma! maandishi yako yanatambulisha undani wako!(I have eyes at the back of my head)
 
Mi sijakuelewa unavyosema 'kachoka na ameishiwa nguvu'?! Umejuaje, Uliwah kumuona kabla, hasa aliporud toka Hosp? Labda uchovu wa safar mkoan, jua la mjin, kuwakwepa usalama daily, kaz nyingi n.k!! Umejuaje ametelekezwa na wenzake? Na je hukupata nafas ya kumuuliza ni kinachoendelea, mana nadhan ungeturahisishia sana.
 
IVI WEWE MLETA MADA unafikiria nini mpaka unaanza kufuatilia maisha ya watu wengine. kwenye hii dunia there is no person who is perfect na kila mtu ana udhaifu wake. KWA TAARIFA YAKO DR. ULIMBOKA ALIKUWA YUKO TEYARI KUFA NA HIVYO KUENDELEA KUISHI NI MPANGO WA MUNGU!! wewe ni mduansi mleta mada!!
 
Umemuona kachoka na kaishiwa nguvu? Kwa macho yako au kwa uhalisia wa mambo kwamba ameishiwa nguvu?Maana inawezekana unasema yale unayotaka kuyaona kama hujatuletea evidence....
Ndahani kwani nguvu gani alizokuwa ana maanisha jamaa ameishiwa kwa kumuona tu!!
 
Last edited by a moderator:
Ulitaka wamsaidie nini zaidi ya walichomsaidia?ukimya wake wa muda mrefu nao uliwatia shaka hata marafiki zake wa karibu!
 
Na bado hadi aokote makopo mwaka huu, laana ya damu za watu. Huu ni ujumbe wa Mungu kwa wote mnaodhani maisha ya mwanadamu ni ngazi ya kujipatia umaarufu.

Kwani wewe ni msemaji wa Mungu? Kwanini huyo mungu wako asiwaadhibu kwanza mafisadi ikiwa ni pamoja na baba yako wanaohujumu mali za taifa na kuwaacha watanzania wakifa kwa magonjwa yanayotibika!
 
Kwa taarifa yako ww unaesema laana ya dam za watu Mungu ndo aliyemuweka hai tili who r u by the way,anaitwa ULIMBOKA means UNIOKOE,so wakuhukumu ni aliye muokoa,na jua mgomo ulikuwa ni wakusaidia hospital zipatiwe vifaa muhimu coz wanafanya kaz ktk mazingira magu
 
nae kwann alikaa kimya ila hali ye si mwanasiasa au alitegemea uwaziri kama ndugue wa sumu aliyeponea India
 
Na bado hadi aokote makopo mwaka huu, laana ya damu za watu. Huu ni ujumbe wa Mungu kwa wote mnaodhani maisha ya mwanadamu ni ngazi ya kujipatia umaarufu.

utaokota makopo wewe na kichwa kama fuu la nazi
 
MUNGU yupo atazidi kumtia nguvu, dr.ulimboka ni mpiganaji na wote tulilithibitisha hilo
 
Uzushi na propaganda ni vitu vibaya sana, mleta mada ni mchonganishi mkubwa sana na bora tukuumbue kabisa, hapa hapa.
*FACTS
1/Dr.Ulimboka alikuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kuchunguza afya yake kwa mara ya pili, Mapumziko na shughuli zake binafsi toka mwezi wa October. Mpaka sasa haijaelezwa kama amerudi au atarudi lini.

2/Zipo taarifa kuwa kuna nchi amekwenda kufanyakazi na hii ni kutokana maombi na ushauri wa marafiki, ndugu, jamaa na familia kwa kuwa tu, usalama wake ni mdogo sana hapa nchini kwa sasa.

3/Si kweli kuwa Dr.Ulimboka hajazungumza chochote, mara ya mwisho alizungumza tena kimaandishi kupitia wakili wake wakati anaondoka nchini.

4/Kila jambo la MSINGI na UKWELI Dr. Ulimboka amezungumza yamerekodiwa na pia yameandikwa.
Zaidi ya hapo basi ni umbeya na uzushi tu ambao watu wanautaka.

5/Si kweli kwamba Dr.Ulimboka amewasaliti madaktari au Jumuiya za madaktari zimemtupa kama mleta mada unavyotaka kuaminisha watu hapa. Kwani pande husika hazijawahi kuzungumza hivyo hata mara moja.

6/Mleta mada(Dr.Kupeng'e) tunakujua vizuri na dhamira yako tunaifahamu sana sisi watanzania, Umeleta uzushi huu ili kuchonganisha jamii na kutafuta taarifa za umbeya ili upeleke kwa waliokutuma.

7/Sote tunajua Dr.Ulimboka ni mtu mwenye Maisha yake binafsi na shughuli ya kupigania ubora katika sekta ya afya ilikuwa ni ya kupita na kujitolea na wala sio kazi rasmi ya malipo hivyo mtu yoyote yule anaweza kusimama na kupigania ubora katika sekta ya afya pasipo kujali nafasi yake.

8/Kwa namna alivyoponea tundu ya sindano kuuwawa na maafisa usalama kupitia mpango wa rais ulioratibiwa vizuri na Ikulu, TISS, Pinda, Kova na RC wa Dar(Sadiq) unaweza kuona hatari ya maisha yake ipoje, hivyo ni muhimu kwake kuwa na tahadhari zote kwa kuwa dola bado unamtafuta sana.
 
Ndahani kwani nguvu gani alizokuwa ana maanisha jamaa ameishiwa kwa kumuona tu!!

Sijaelewa ndo maana nilitaka kujua...nguvu za vipaza sauti? au za hela? au za mwili? au za kiume? Ndo maana niliomba kuelezwa kwa kina zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…