What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
Madokta wana watoto na mahitaji mengine kama hao mabwana zako Magamba, wanaitaji pesa na kusomesha watoto zao na kuudumia family zao.Wabunge ambao wanalala tu Bungeni na wengine wanaonga vitoto kama Lulu kila mwaka wanajiogezea marupurupu mbona uwaulizi? Wabunge ambao kila bajeti wana pandisha mshaara na kodi at the same time yaani wanafanya madudu tu mbona uwaulizi? Kama kufa utakufa tuWhat about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.
Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
Hilo swali kamwulize dhaifu wako Jk a.k.a baba Riz na pinda pinda wake a.k.a Liwalo na liwe.What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.
Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
huwezi kuamini kamaTanzania inaweza kuwa na mashujaa wa namna hii.hapa naanza kuelewa kwa nini ulimboka alitekwa na kupigwa kinyama.
Niambieni shujaa mwingine aliyewahi kutokea hapa Tanzania.mwili hauna nguvu lakini msimamo uko palepale!