Dr. Tulia utashinda IPU sio Mbeya

Mnajifariji sana,amshukuru magufuli na ubunge wa sandakalawe.mama mwenyewe hamkubali uyo bi kiroboto.ndo mana alikwenda concert la sugu Moto chini.jiulize
mimi tena ndio nijiulize?

madhara ya kujiuliza na kujijibu mwenyewe matokeo yake ni kujinyonga, kana kwamba hilo ndio jibu sahihi kwa ulichojiuliza mwenyewe.
 
Kwa hiyo unafikiri akija Mbeya huwa anakuja kudhurura kama wewe ufanyavyo?
Unakuwa mjinga na kuwashalilisha Wanyiha/Wasafwa kama unamuabudu huyo kidudu mtu Tulia Ackson. Huyo kwanza ni mhamiaji kutoka Tukuyu. Ningekuona wa maana kama ungekuwa unapigania jimbo lirudi kwa wazawa.
 
Tulia atashinda Mbeya hata Kwa lazima sio tuu IPU so Punguzeni muweweseko.
 
Kama ni mwanaume basi kuna shida pahala
 
Ndoto za alinacha hizo,hata avae hirizi kwenye kiharage.mbeya hapiti ng'oooo.we Kaa huko huko igamba udanganye watu
Atapita kwa kishindo. Nyie wezi wa chadema mmekumbuka ufisadi wenu mlioufanya hapa mbeya hakuna mjinga atahangaika na Chadema. Hakuna kitu Chadema walichofanya Mbeya mjini zaidi ya wizi na ufisadi
 
Umeandika bla bla tupu, sijaona hayo maendeleo aliyowaletea wana Mbeya!
 
Nyie wapumbavu mkiongozwa na Sugu hakuna chochote mlichokifanya mbeya mjini zaidi ya wizi tu. Tulia trust imekuwa mkombozi wa wanambeya. Tulia ni mbunge wa milele wa Mbeya mjini
Daah!? hayo mengine wacha nikuachie mwenyewe,
lakini maana ya milele unaijua we mke wa mtu?
 
Nyie wapumbavu mkiongozwa na Sugu hakuna chochote mlichokifanya mbeya mjini zaidi ya wizi tu. Tulia trust imekuwa mkombozi wa wanambeya. Tulia ni mbunge wa milele wa Mbeya mjini
Inaonekana mkuu nawe uliambulia mkopo imekuwa rushwa sasa
 
Wewe ni mjinga kabisa unayetakiwa kueleweshwa kwa viboko.

Hizo kandarasi zimesainiwa juzi tu karibia 10. Unaelewa lakin mchakato wake upoje hadi zianze kujengwa?

Tulia ana miaka mingapi pale Mbeya? Kuna sehemu gani utasema kweli hapa alipigania tulia haddi pakawa. Mbeya imebaki kama mji uliobitani. Kushukuru ni wananchi wa hapo wanajua kujipambania kuleta maendeleo yao.
 
Mkuu mbona unamkatisha tamaa mwenzio😆😆
 
Nyie wapumbavu mkiongozwa na Sugu hakuna chochote mlichokifanya mbeya mjini zaidi ya wizi tu. Tulia trust imekuwa mkombozi wa wanambeya. Tulia ni mbunge wa milele wa Mbeya mjini
Kwani Chawa Tulia kafanya nini?
 
Mnajifariji sana,amshukuru magufuli na ubunge wa sandakalawe.mama mwenyewe hamkubali uyo bi kiroboto.ndo mana alikwenda concert la sugu Moto chini.jiulize
Tulia Ackson bila mbeleko ya Serikali sidhani kama ana uwezo wa kushinda hata Udiwani
 
We hauishi mbeya mjini .barabara kibao ni mbovu bora hata Sugu alijitahidi.ukienda Nonde,mabatini,Ghana,iziwa,Nsoho hakupitiki Kwa ubovu wa miundo mbinu.sasa wewe mwenzetu sijui unaishi mbeya mjini ipi?? Tulia anachoweza ni mbio.kata ambazo Tulia nina uhakika atapata kura ni Iziwa na Nsoho ambayo kuna wasafwa 97%.wasafwa wanajulikana ni washamba..ila sio wengi katika hizo kata.ila kiukweli Kwa uchaguzi wa haki Mbeya mjini Tulia hapiti.
 
Kodi inakusanywa na serikali,mbunge anapeleka ombi ,sasa sugu alipeleka maombi hayajatekelezwa kwa figisu za ccm ulitaka afanyeje
 
Umeongea sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…