haya mambo yapo kila mahali mfano chadema kuteua viti maalum ilhali bado ni ccm ajabu kabisa.
Alichukua fomu ofisi ya Ccm akiomba chama kimpendekezeKuwa Spika wa Bunge la JMT sio lazima utokane na chama fulani cha siasa. Unaweza kuwa mgombea huru.
Siyo kweli! Nafikiri kama alivyosema mchangiaji mmoja huyu akukulia ndani ya ofisi hiyo ya AG. Angekuwa humo hasingefanya aliyoyafanya!Kuwa Spika wa Bunge la JMT sio lazima utokane na chama fulani cha siasa. Unaweza kuwa mgombea huru.
......kuna sheria yeyote ya kiutendaji kaivunja ktk suala hili?
Hapa ndio tutaona ukomavu wa serikali ya magufuli kama hatomwachisha kazi kwa kiwa kada wa CCM ...naomba wanaharakati wapige makelele aondolewa kwenye nafasi yake
haya mambo yapo kila mahali mfano chadema kuteua viti maalum ilhali bado ni ccm ajabu kabisa.
kati ya watu ninoawana makada wa ccm walio wajibga ni huyu dr akson, kuna ka mama kana vinywere vya hovyo semakafu, dr bana misuli na michael hawa ni wasomi wasiojitambua. ukiona mambo yao unakata tamaa ata ya kusoma. mtu anasoma hajitambui ni full kujipendekeza je elimu yake imemsaidia?
Ndivyo walivyozoeshwa na mfumo wa CCM wa kuongoza serikali.
Kwa kulinda heshima yake ajiuzulu, huwezi kua Deputy AG ukawa kada wa chama.hapo kachemka
kati ya watu ninoawana makada wa ccm walio wajibga ni huyu dr akson, kuna ka mama kana vinywere vya hovyo semakafu, dr bana misuli na michael hawa ni wasomi wasiojitambua. ukiona mambo yao unakata tamaa ata ya kusoma. mtu anasoma hajitambui ni full kujipendekeza je elimu yake imemsaidia?
Huo ndiyo ukweli na atayebisha ni mnafiki tu. Huyu Dada ni bright sana. Kama hakuna sheria aliyovunja kwa kuutaka Uspika wa Bunge, kwanini watu wamlaumu!!!Nyie mna roho za kungunı na zımejaa kutu.Huyu dada ni brıght sana.Kila anapopewa nafası anaonesha uwezo na kwa kawaida anatakiwa kuwa rewarded.Hauwezı kumfananisha Dr Atson na mtu km Ndugaı,Nchmbi,Makinda,Zungu,Mwinyı,Mzamır,Blandes,Ikunda n.k.She is very determined ths madame!
Kaka kanuni na sheria ziko hivi, kwa cheo chake alichonacho cha kiserikali (naibu Mwanasheria Mkuu) hauruhusiwi kujihusisha na mambo ya kisisasa au kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa, sasa anapoenda kuchukua fomu za kugombea Uspika kwa mgongo wa CCM hili hali bado ajatoka serikalini hilo ni kosa