Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,367
- 283,449
Haya mambo yalikuwepo toka siku nyingi tena mashindano hasa .Nakumbuka tulikuwa wadogo tunayaona haya.Naona wewe akili zako zote umejaa siasa kuna watu wanaona mbali zaidi ya siasa , vile vile kufufua ngoma za asili ambazo siku nyingi zilishaanza kusahaulika anatakiwa kupongezwa badala ya kushutumiwa .Badilikeni jamani.
Kwa nini? ni haki yake ya kikatiba.mkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
Haya mashindano kwa ni ya kusini tu. Namshauri Ayafanye ya nchi nzima na yahamishiwe Dar-Es-Salaam!Umeongea vyema sana, Tulia anastahili pongezi sana kwa hili.
Kwa mji mdogo kama Tukuyu, mashindano haya yanaongeza fursa kwa wafanyabiashara wa Tukuyu na Rungwe kwa ujumla ikiwepo kuongeza kwa kiasi kikubwa mzunguko wa fedha.
Amelenga kweli kusaidia ?Umeongea vyema sana, Tulia anastahili pongezi sana kwa hili.
Kwa mji mdogo kama Tukuyu, mashindano haya yanaongeza fursa kwa wafanyabiashara wa Tukuyu na Rungwe kwa ujumla ikiwepo kuongeza kwa kiasi kikubwa mzunguko wa fedha.
Nani alikudanganya kwamba ngoma za asili ziliwahi kufa Mbeya ? Kama hujui kitu kaa kimya bhana , halafu hujiulizi Why Now ?Haya mambo yalikuwepo toka siku nyingi tena mashindano hasa .Nakumbuka tulikuwa wadogo tunayaona haya.Naona wewe akili zako zote umejaa siasa kuna watu wanaona mbali zaidi ya siasa , vile vile kufufua ngoma za asili ambazo siku nyingi zilishaanza kusahaulika anatakiwa kupongezwa badala ya kushutumiwa .Badilikeni jamani.
Nisome tena mkuu .Mkuu nimesoma ulicho kiandika ila nimeshindwa kuelewa kuwa unapinga kufadhili au unapinga kisiasa kwa kuwa tulia ni mwanasiasa
NimekusomaNisome tena mkuu .
Hivi Afrika tuna nia kweli ya Kulinda tamaduni zetu na Lugha zetu. Mimi ningependekeza, ukiwa sema mzaramo au kabila lolote lakini unaishi mkoa sio origin yako ni vizuri tukafundishwa ngoma za mkoa huo ktk level ya primary school, ukifika shule ya upili ndio uanze kucheza na nje ya TZ.Wakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
Acha urongo weye ngoma za Kinyaki ni pure utamaduni hayo mambo unayoyasema labda yapo kwenu huko mabonde kuinamaNgoma nyingi huko kwa wanyaki zimehusishwa na mambo ya uganga na mambo ya kishirikina. Kwa hiyo huyu msomi Acks amechagua kutegemea misukule? Nilipata kusikia ni mcha Mungu sana!