Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Acha matusi wewe. CCM vipi, hawazini?Ataongozana na mke wa mtu manake kibabu kizinzi sana.
Hongera yake. Tunaomba akirudi huko aanze ziara mara moja ya kuimarisha chama.
Chadema siyo Ccm ziara zote Kinana, sisi tuko site tunapiga mzigo. Tunampa nafasi Dr kufikiria jinsi ya kuongoza nchi ilyoharibiwa na magamba kila sekta!
Usihofu,watatuma mpaka zile picha zikimwonyesha ananing'inia ktk bembea kama mtoto wa chekechea akiwa Jamaica. Utasuuzika na roho yako mbona!Tunangoja picha kama zile za beji ya NASA, zawadi ambae hajapewa yoyote duniani kasoro Rais wa USA na Slaa peke yake.
Kwi kwi kwi teh teh teh.