Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

Hapo kwenye RED imekaa VIPI..?!! Mzee slaa mbona mwananchi tu wa kawaida kama wewe.

P.S Get well soon SLAA
We ni mtanzania au mtanganyika? watanganyika tunajua kuwa rais wetu ni Dr Slaa!
 
Why MOI jamani Dk. Slaa?

Napatwa na woga hapo Muhimbili.

Nashauri SELIAN au KCMC
 
Si tukamkodie sheikh Yahya Hussein tu ili aimarishe ulinzi au?

Dr Slaa ni mtumishi wa Mungu aliyehai. Si wa kivuli cha miungu inayotawaliwa na shetani. Kama kwenu mnamtumia Shehe Yahaya, ni kwenu tu. Kwa Dr (PHD) marufuku.
 

Wacha kumdhalilisha Watara wetu! atafanyaje kamchezo katamu na bado hajaoa?
 
Wewe Zomba unauliza Rais wa nchi ipi? Jibu mbona unalo Rais wa Watanzania walio wanyonge MIMI WEWE NA YULE. Nani asiyefahamu hilo. Dr. Slaa tunakutakia upone haraka mungu huruma na mwingi wa rehema atakuponya.
 
Kama ni kweli namuombea apone haraka aendeleze mapambano!!!Mafisadi hamna kupumua kwama huu!!!
 
Namtakia afya njema, apone haraka, raisi wako, mtanzania mwenzangu ambaye pia ni katibu mkuu wa chadema dr, slaa.

 
Dowans Jamani huku mgao umeanza mapema sana! Kila unapotokea mgao nazidi kumchukia Mkwere alisema hiyo itakuwa historia.
Michizi mingine bana, Haijui hata mada inaongelea nini. Utafikiri zezeta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…