Dr Slaa kutokana na umri wako sio vema kutupiana maneno na Nape.
Dr Slaa kutokana na umri wako sio vema kutupiana maneno na Nape.
Umepata thread ya Kulalia Mkuu. Vizuri mkuu upate nauli na si kurandaranda mitaa ya Lumumba Ucku huu
Nimepitia hii thread yote lakini sijaona wapi Dr Slaa kasema Watanzania wanataka maendeleo sio porojo.
Hichi ni kiwanda kipya cha uongo kimefunguliwa leo na Kamanda Molemo.
Thread kama hii unaweza kushangaa inakaa wiki mbili.
Dr Slaa ndio taa inayowamulika Watanzania wote. JK ni rais wa TISS
Hakika huyu ndiye Rais wangu..
Namkubali sana dr.wa ukweli,kweli magamba hawa sera wala agenda za kuwakomboa. WaTz.
Dr Slaa kutokana na umri wako sio vema kutupiana maneno na Nape.
Yaani jinsi ulivyo-comment, kama mtu si mjanja anaweza fikiri kwamba wewe ni mtu mwenye hekima kweli.Nimepitia hii thread yote lakini sijaona wapi Dr Slaa kasema Watanzania wanataka maendeleo sio porojo.
Hichi ni kiwanda kipya cha uongo kimefunguliwa leo na Kamanda Molemo.
Thread kama hii unaweza kushangaa inakaa wiki mbili.
slaa huyu huyu mzee wa kupora wake za watu au mwingine?