masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Na mimi ningekuwa na wivu kama ofisi ya CHADEMA mkoani haijalipiwa kodi,hakuna mishahara,nalazimishwa kuandamana, nkula virungu vya policcm, nawekwa selo, halafu wajanja makao makuu wanakula kuku kwa mrija huku wakigawana milioni 700 za ruzuku.Kumbe unasumbuliwa na wivu!!
Na mimi ningekuwa na wivu kama ofisi ya CHADEMA mkoani haijalipiwa kodi,hakuna mishahara,nalazimishwa kuandamana, nkula virungu vya policcm, nawekwa selo, halafu wajanja makao makuu wanakula kuku kwa mrija huku wakigawana milioni 700 za ruzuku.
Ukitaka nihame CCM , naomba nimegee inglau 1% ya hilo bulungutu kwa mwezi, pesa sabuni ya loho.
Ni zaidi ya wajinga... matamko ya kipuuzipuuzi kila siku tumechoka nayo. tz chama cha upinzani ni chadema tuu.
Mbinu iliyobakia sasa ni kulipa watu kutoa matamko, kila kukicha ni matamko. Na hii mbinu nyingine ya kutumia mahakama, bundi bado hajakubali imeshindikana. Najua kikundi cha wasaliti kimeishiwa mbinu sasa kinanunua wajumbe na kuwatumia watawala kuishinikiza mahakama. Huwezi kuzuia mabadiliko kwa hulka zako za kupenda uongozi.
CCM lazima wajue wale watoto elfu 11 na wengine wengi wanaotafuta ajira bila mafanikio ndio watawatoa madarakani. Wazee waliostaafu bila malipo ndio watawatoa madarakani, matumizi mabaya ya ofisi za umma na uhujumu uchumi ndio utawatoa madarakani, Wizi, upendeleo, rushwa na maisha duni ndio adui yao namba moja.
Kuindamana CDM kwa kutumia mamluki na wenye tamaa haitasaidia, watanzania wamechoka na ahadi hewa.
Tumechoka na wachache kuhodhi nchi na uchumi wa nchi.
Hizi Rushwa za kisiasa mnazotumia kuteka watu, ni sababu tu ya ukosefu wa ajira na wachache kuchumia matumbo. Watanzania wanataka mabadiliko na hakuna anayeweza kuyazuia, hata mkiindamana vipi CDM mabadiliko ni lazima.
Binadamu akichoka kitu huwezi tena kumlazimisha. Ni wajibiu wa CCM na mamluki wake wote inaowatumia kujikita zaidi kurusdisha imani kwa wananchi kwa kugawa keki ya Taifa sawa na kutimiza wajibu badala ya kutumia hongo, hila, matamko ya kulipia, kesi za kutengeneza, na kulinda wasaliti mahakamani.
Wasaliti:
Dhambi ya kuwakaanga watanzania kwa tamaa zenu za fedha na madaraka zitawatokea puani, mtahangaika sana. Rudini kwa wananchi kwa ukweli acheni kutunga maneno kwa fedha za CCM. Adui wa Mtanzania ni umasikini na maisha duni, afya mbovu na elimu mfu, wizi wa mali za umma na wachache kuhodhi nchi. Mkishindwa kusoma ishara za nyakati nyakati zitawasoma ninyi.
Ha ha ha
Dr Slaa hajui kuwa wajinga wakubwa zaidi ni wale waliomuweka hapo alipo!
wakuu, ujinga siyo tusi, mjinga ni mtu ambaye hajui kitu flani na anajua kama hajui lakin akielekezwa atajua, sasa sidhani kama watu wote wanajua kila kitu.. kwa vile hakuna m2 anaejua kila kitu basi sisi wote ni wajinga na wapumbavu
Unawezaje kujiunga na chama bila kujua malengo na muundo wake? Unadhani chama ni club ya mpira? Kuhusu kuhama CCM au kubaki ni juu yako tu mkuu, kwani ni mwendo wa soko huria. Kama una "price tag"angalia unaweza ukanunuliwa "whole sale"Na mimi ningekuwa na wivu kama ofisi ya CHADEMA mkoani haijalipiwa kodi,hakuna mishahara,nalazimishwa kuandamana, nkula virungu vya policcm, nawekwa selo, halafu wajanja makao makuu wanakula kuku kwa mrija huku wakigawana milioni 700 za ruzuku.
Ukitaka nihame CCM , naomba nimegee inglau 1% ya hilo bulungutu kwa mwezi, pesa sabuni ya loho.
Pole sana shabiki usiyejua madhara ya kupitisha bajeti ya kipuuzi kiasi kile! Hata hao 234 waliopitisha bajeti hiyo wanajua madhara yake, lakini kwakuwa ni wachumia tumbo walikubali kwa kuhofu bunge kuvujwa na wao kukosa kibarua. Wewe ni mwehu kwa sababu hujui nini unashabikia!ni chama cha upunguani, cyo upinzani. Jana mapunguani wa bajeti walikuwa 66, wakati waliopitisha bajet walikuwa 234. Can u imagine?
Hii sacos sasa inaelekea kubaya sana shimo liko karibu watadumbukia shimoni mapema kabisa.
Every body has a price!Unawezaje kujiunga na chama bila kujua malengo na muundo wake? Unadhani chama ni club ya mpira? Kuhusu kuhama CCM au kubaki ni juu yako tu mkuu, kwani ni mwendo wa soko huria. Kama una "price tag"angalia unaweza ukanunuliwa "whole sale"
Nami nataka kutekenywa na yule mbunge wa Dubai!!!Nenda ACT ukihisi unatekenywa
Pole sana shabiki usiyejua madhara ya kupitisha bajeti ya kipuuzi kiasi kile! Hata hao 234 waliopitisha bajeti hiyo wanajua madhara yake, lakini kwakuwa ni wachumia tumbo walikubali kwa kuhofu bunge kuvujwa na wao kukosa kibarua. Wewe ni mwehu kwa sababu hujui nini unashabikia!
Tatizo kubwa ulilonalo ni kwamba zaidi ya kujua kusoma na kuandika huna la zaidi!wapo wapinzani waliopitisha na pia wpo wapinzan waliokwepa mkumbo mkumbo wa kukataa na kubaki nje ya bunge ile kuepuka mashinikizo ya vyama vyao. Pole wewe punguani!
Khaa!! sasa yako iliyo strong iko wapi bana?? Au ulevi umekujaa?? Kafie mbele hukohoja dhaifu mno !
Khaa!! mie simchukii Dr Slaa namuona kama binadamu mwingine ana haki zake. Ila ninachohoji ni uadilifu wake. Ni ajabu sana na ni ujin ga kumpa mkate mtoto wa jirani yako ambaye hujui hata kama anauhitaji na ukiacha mwanao akifa kwa njaa. Wenzetu husema charity starts at home na hili ndilo dr slaa amefail :cool2:Ukimya unaficha mengi najua umetumia muda mwingi sana wa kupost hii kitu.
Bora ungefunja ukinya na wala sioni sbb ya wewe kumchukia Dr slaa.