masingo sharili
Member
- Mar 18, 2011
- 63
- 12
Tumieni akili katika mambo mnayofanya kesho mtamlinganisha ...............na................... wote binadam wanamapungufu yao jueni dk slaa elimu yake ni sheria za kanisa katoliki ambazo kwa watu wenye akili haziwezi kuingia akilini. ndio maana mambo ya kanisa yamemshinda wizi mtupu.
Wote wanapwaya. Hawawezi kusimamia utendaji wa vyama vyao kwa umakini.
- Hivi mnatumia vigezo gani kuwalinganisha maana kama ni kutumia standard za kimataifa politically, Makamba as much as I disagree na style ya uongozi wake, bado anakuwa the man kwa sababu amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi! So!
- Chama chochote cha siasa Duniani, kinakuwa na lengo moja tu! Nalo ni kushinda uchaguzi wa taifa kwanza, mengine baadaye for that standard Makamba is the man hapa, Unless I am missing something here!
William @ New York City, USA.