FaizaFoxy kama alivyosema Sacona kua ni ukomavu wa kisiasa na si uadui lakini dada yangu wewe naona unataka kutupeleka kwenye mambo mengine kabisa au tukuchukulie kama jina lako la pili linavyo jionyesha hapo juu? Faiz......Foxy!!
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!
Baada ya hii picha, nikisikia Shyrose kajiunga cdm ntajuwa kweli Slaa, PhD wa kanoni bila bachelor's hata moja, mkali kwa totoz!
http://www.blogger.com/share-post.g...894691&postID=3736477459876163260&target=buzz <script type="text/javascript">if (window['tickAboveFold']) {window['tickAboveFold'](document.getElementById("latency-3736477459876163260")); } </script> Shyrose Bhanji na Dk Wilbrod Slaa
Haina shida yupo na mkwe..
Natamani iwe kamgonga huyo dada , nitaona kama Dakta kawatenda ccm woote.