Ila sasa CCM nao wakija na posho ya kazi ngumu na kutaka tuwatengenezee clip bora zaidi inakuwaje....? Au ndio itakuwa kupokea fedha za "kifisadi" hata kama ni za halali?
Mkuu umekuwaje tena? Utakuwa huna tofauti na kama wale wenzetu wa Habari Corp ambao uzalendo unawashinda kwa vile wanapewa keki ambayo inatokana na damu ya watoto,shangazi zao,wajomba hata wazazi wao na marafiki wanaona ni bora kuliko mkate halali. Najua umepima joto tuu sivyo ulivyo.
Hivi mkuu, EL akija na posho ya kazi ngumu umtengenezee clip kuwa ni kiongozi bora na muadilifu na anastahili kuwa Rais sio 2015 tu, hata kesho wewe kama Mwanakijiji itakuwaje?
Hivi mkuu, EL akija na posho ya kazi ngumu umtengenezee clip kuwa ni kiongozi bora na muadilifu na anastahili kuwa Rais sio 2015 tu, hata kesho wewe kama Mwanakijiji itakuwaje?
dnt tell us utachukua, mbona unaanza kututisha, unajaribu kukamulia kidonda kibichi limao, do you think kitakauka au kitazidi kuongeza maumivu?
hongera kwa kazi nzuri mkuu.
Ila sasa CCM nao wakija na posho ya kazi ngumu na kutaka tuwatengenezee clip bora zaidi inakuwaje....? Au ndio itakuwa kupokea fedha za "kifisadi" hata kama ni za halali?