Dr. Slaa "Tutashinda kwa asilimia...! wakichezea kura patachimbika!"- Masaa 48 kabla ya kura...

mimi na-declare position yangu......i want the opposition (in this case chadema) to win not only this by-election but also all other elections.

i know it's difficult (didn't say impossible) for chadema to win in arumeru, no matter what dr slaa or anyone else says. tuambiane ukweli rafiki zangu....a lot is at stake for ccm kwa sasa, so they will make sure (by hooks n crooks) wanatangazwa washindi hata kama watakuwa wameshindwa! hawatajali consequences.....ccm is a dying gang. wale walio-experience kuishi na mtu ambaye anajua atakufa siku si nyingi they will know what am talking about.

lakini kwa wale waliopitia mafunzo ya kijeshi (jkt, etc), tulifundwa kuwa tunapokwenda vitani hatuendi kupigana vita vya kushindwa - never.
kushinda vita kunaweza kupimwa kwa matokeo tofauti-tofauti.....like ku-win back/more territory, ku-weaken nguvu ya adui, kumfanya adui mchokozi (hata kama akishinda sasa) siku nyingine ajiulize mara mbili-mbili kabla hajakuchokoza tena, etc.

to cut my story short, i have no problem at all kwa dr slaa kujitangazia ushindi sasa kwa vile that's the spirit of any real fighter - ie if my army training is anything to go by!
 
Hatuna namna kama wazalendo! Ushindi ni lazima! Hakuna justification za failure kwa hili kwa uongozi mzima! Kama kura haiwezekani then tunafanya nini?

taratibu rafiki yangu..... wengine brain zetu nzito kidogo.
naomba unifafanulie kidogo hapo kwenye red ili nirudi kwenye mstari.... nisije nikatafsiri nilivyoelewa kumbe sivyo!
 
Mimi napata shida sana nikisikia kauli za aina hii. Je siku zote huwa kuna ushahidi wa wazi kwamba CCM wameiba? Au huwa zinaibiwa pasipo CHADEMA kujua? Kama huwa wanajua kwamba zimeibiwa na kuna ushahidi kwanini huwa hawachukui hatua stahiki zikiwemo kwenda mahakamani? Na kama huwa hawajui, huko Arumeru watajuaje kama wameibiwa? Isije ikageuka kuwa ndiyo kisingizio cha kuanzisha vurugu huku kumbe wameshindwa. Nafikiri namna nzuri ni kutafuta namna bora ya kujiridhisha namna ambavyo kura zinaibiwa ikiwa ni pamoja na kupandikiza mashushu wa CHADEMA ndani ya CCM ili kuweza kuwainform ni nini kinachoendelea upande B. lakini vinginevyo tutabaki kuweka hisia zaidi kuliko uhalisia.

Mkuu mahakama gani unazosema CDM waende?
 
Habari Mzee wa Kijiji
Samahani mzee ulipost kuhusu kurusha mahojiano yako na Dr Slaa, ila post siioni tena uliitoa au ndio tupotezeee????
 
mimi na-declare position yangu......i want the opposition (in this case chadema) to win not only this by-election but also all other elections.

i know it's difficult (didn't say impossible) for chadema to win in arumeru, no matter what dr slaa or anyone else says. tuambiane ukweli rafiki zangu....a lot is at stake for ccm kwa sasa, so they will make sure (by hooks n crooks) wanatangazwa washindi hata kama watakuwa wameshindwa! hawatajali consequences.....ccm is a dying gang. wale walio-experience kuishi na mtu ambaye anajua atakufa siku si nyingi they will know what am talking about.

lakini kwa wale waliopitia mafunzo ya kijeshi (jkt, etc), tulifundwa kuwa tunapokwenda vitani hatuendi kupigana vita vya kushindwa - never.
kushinda vita kunaweza kupimwa kwa matokeo tofauti-tofauti.....like ku-win back/more territory, ku-weaken nguvu ya adui, kumfanya adui mchokozi (hata kama akishinda sasa) siku nyingine ajiulize mara mbili-mbili kabla hajakuchokoza tena, etc.

to cut my story short, i have no problem at all kwa dr slaa kujitangazia ushindi sasa kwa vile that's the spirit of any real fighter - ie if my army training is anything to go by!

Now I am confortable, if our current front liners will fail, you and I shall prevail
 
Chadema hatashinda na wala hapatachimbika NEVER!

Instead Slaa atachimbwa ina case wakileta ujinga ..

Serikali inawaheshimu wanasiasa lakini kuna limits kwenye kila jambo..

Hilo la kwamba patachimbika "HILO SIDHANI KAMA TUTAVUMILIA"
 
Naamini tukichukulia vyote vinavyoweza kufanyika na ambavyo vimefanyika CDM itashinda kwa a little over 50 percent
 
Naamini tukichukulia vyote vinavyoweza kufanyika na ambavyo vimefanyika CDM itashinda kwa a little over 50 percent

kapumzike upate muda wa kutuhabarisha kesho mambo ya kubashiri matokeo no na majibu yote kesho.
swali mfano cdm/ccm wamenipa rushwa nikipigie kura wakachukua namba ya kitambulisho changu je ni sipowapigia kura wanajuaje.?
 
Ccm ccm aaaah aaah chama cha mapinduzi ccm namba waniii Siyoi anawekaaa anatoaaaa waaaaaa ushindi unakujaaaaaaa!
 
Pasco wewe ni mtu wa ajabu kweli, unaposema 'uchaguzi umeshaisha' una maana gani, including wizi wa kura? au ushindi wa halali, kama huo ndio ukweli wako wakati kila mtu anajua uchaguzi bado je uongo wako ukoje....

Then unasema si vizuri Slaa kuwapa watu great expectations wakati huo huo wewe si tu unawapa expectations ni kuwa unasema tayari uchaguzi umeshaisha na Sioi kashinda isn't that worse than giving people expectations?

I know you know who is going to win and you know you did mistakes before, you anticipated wrongly so you are feeling ashame to swallow your tongue in public. Uwe huru ku admit ulikosea lakini hatutakubali excuse yako baada ya matokeo kutangazwa nitakuwa wa kwanza kukudharau.
Mkuu Feedback, mimi ni realist, sio idealist!. Ukiwa realist lazima ukubali kuishi na consequences za reality!. Tuendelee kusubiri matokeo ila nafarijika sana kuwa badala ya kuwa wa kwanza kunidharau , utaendelea kuniheshimu zaidi!. Nasisitiza kusimama kwenye ukweli na ukweli ndio utasimama!.

Kuwa na imani bila matendo ni bure kabisa, kufuatia CCM kutufanya mbaya kwa kipindi hiki cha miaka 50, wengi wasioukubali ukweli mchungu, wanaishi kwenye false hopes kuwa things will change, bila kubadilishwa!. Nilisema uchaguzi Arumeru ilikwisha, kinachoendelea sasa ni taratibu tuu za kuhalalisha hicho kilichoshapangwa!.

Hebu na tusubiri matokeo ndipo tuendelee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom