Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,988
- Thread starter
- #61
Mwanakijiji,
Mi nilidhani wewe ni mchambuzi huru, lakini siku hizi baada ya kuona wewe ni CDM sina hamu tena na makala zako make ni biased.
Angalia usije wapa watu matumaini na mambo yaje kinyume then wapigane wakati wewe huko nje ya TZ unachekelea tu kwenye keyboard.
Na bila shaka projection zako na Dr.Slaa ni CDM kushinda na ndo wana jf wengi wanasubiri, ukisema kinyume reaction unaijua. So huna jipya la kuleta hapa subiri watu wapige kura tume itoe matoke mengine ni porojo tu.
Pole kwa kukukatisha tamaa; kwa ambao wamenisoma muda mrefu wanajua siko "huru" kihivyo.