Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,210
- Thread starter
- #21
BAK you said it mkuu. Hii idara naona aliondoka nayo Nyerere. Waliobaki baada ya hapo ni wachumia tumbo na wala rushwa wakubwa ambao wanatumia majina ya usalama wa taifa ili kujineemesha na kuwaneemesha mafisadi badala ya kulisaidia taifa. Sasa hivi idara hii wanajiajiri kwa upendeleo na kwa kujuana. As a result, idara imejaa vilaza tupu, wasioweza hata kureason out. Watu walioapa kuifia nchi, wanakuwa tayari kuvutwa na kusukumwa na upepo wa fedha za mafisadi? Naichukia sana hii idara.Mkuu Lukolo huwa nasikia kichefuchefu kusikia neno "usalama wa Taifa" hakuna kitu kama hicho nchini mwetu vinginevyo haya madudu yaliyokithiri kila siku yasingekuwepo, upo usalama wa mafisadi.
Last edited by a moderator: