BRAVO CHADEMA,
Mojawapo ya sifa ya uongozi bora ni kutatua matatizo yanayoonekana kana kwamba hayana mlango wa kutokea.
Hata wao ccm wanajifunza mengi juu ya matukio wanayotuletea CHADEMA na namna tunavyoyatatua.
Kwa tatizo hili la Lwakatare na jinsi litakavyotatuliwa, itakuwa ni uthibitisho mwingine mbele ya jamii kwamba CHADEMA inao uwezo wa kushika uskani wa Taifa hili na kukabili matukio na kuyatatua.........
Hiki ni kipimo bora cha kuwaonyesha wananchi uwezo CHADEMA ilio nao wa kung'amua mambo ya sirini na kuyadhibiti na nchi ikawa salama.
Huo upuuzi kina Wasira waliichezea NCCR-MAGEUZI sasa wanataka ku-paste kwa CDM