Bavicha kwa matusi hamjambokwa vyovyote umewahi kumchungulia mama yako chooni.
Ukiwa na akili mgando af unatumia kichwa kufuagia nywele pekee ndio utaandika km ulivyoandikaWenye akili wametambua ukiritimba wa TBCCM ila vichaa kama hawa LB7 they will never allow their brains to understand issue. Nasikia tena waliokata Mawasiliano ya tbccm ni TISS.
Wewe ni msukule tu huna jipya, akina slaa na hawara yake josephine wanapiga hela na kwenda kutumbua maisha huko wee unatumika kizembe tu hapa.....ndio mana chopa 3 kata 3Kauli kama hii labda inaweza kumfaa yule mkuu wa nchi ambaye aliwahi kutamka hadharani, wananchi wake wakimsikia na dunia ikimsikiliza kwamba hajui kwa nini wananchi wake na nchi yake ni maskini. Mtu wa namna hii ndiyo hawajui wanachokifanya na bila shaka wataacha 'majina' tu...
Slaa ni mwehu, anazeeka vibaya. Tbc walitoa tamko kwamba hali ya hewa ya mvua ndio iliyosababisha mitambo kukatika yy analeta chuki zake apa, aanzishe tv yake basi
Hiyo ni hoja dhaifu sana wanaoangalia mjadala huu wa bunge la Katiba siyo CDM peke yao, wapo watu wengi wanaotaka kujua juuu ya mijadala inayoendelea. Tunapaswa kupata hoja za watu wote hata kama tunatofautiana nao, TBC wanachofanya ni upuuzi ambao tukipata Katiba mbovu itawaathiri wao na hata watoto wao. TBC iachie wajumbe washindane kwa hoja siyo kwa mbinu chafu.
Bavicha kwa matusi hamjambo