nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...
Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!
CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...
Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!
BUGORORA:
Kwa nyongeza ni kwamba suala kuoa na kuolewa kwa mtu yeyote sio issue ya kitaifa. Taifa letu halijashindwa kuendelea kwa miaka 50 kwa sababu watu wameoana na kuachana au kwa sababu fulani kamfumania fulani. Lakini ni ukweli wa mchana kweupe kuwa nchi imeshindwa kupiga hatua kwenda mbele sababu ya mafisadi.
Tunakujua vizuri Kamanda. We sema lini tukusindikize kuchukua form ya kuchukua dola...
Mr. Presedent, ikiwa tutawachagua viongozi kwa kigezo cha mienendo yao binafsi hasa kama unavyodai kuwa babu ni mzinzi,, hakuna mtu anayeweza kuwa rais wa nchi hii...
Mkuu hebu waombe radhi wanawake,unataka kusema wanawake ni mali kama vile magariFisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.
BUGORORA:
Kwa nyongeza ni kwamba suala kuoa na kuolewa kwa mtu yeyote sio issue ya kitaifa. Taifa letu halijashindwa kuendelea kwa miaka 50 kwa sababu watu wameoana na kuachana au kwa sababu fulani kamfumania fulani. Lakini ni ukweli wa mchana kweupe kuwa nchi imeshindwa kupiga hatua kwenda mbele sababu ya mafisadi.
haahaa sadaka zipi? mbona hueleweki?
Unafkri kupitia nn wewe?
Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...
Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!
CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...
Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!
haaa haa huu ni mtazamo wako hongera. tuwasubiri na wengine.