prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Kwanza ma-ccm neno upeo mlikuja kujua kwa dr.slaa,afu mleta mada hata hajalisoma tamko la dr.slaa ndo mana sintamjibu huyu mpuuzi wa lumumba kichwa kama mkama
NINA MASHAKA NA UPEO WA Dr SLAA,,!!
Leo vyombo vya habari vimeripoti kuwa Dr Slaa anamlaumu Katibu Mkuu wa CCM kutaka kuhujumu mwenendo wa Kesi ya rufaa ya Tundu Lisu kwakuweka wanasheria makini kuhakikisha Lisu anashindwa kesi hii,,!!
Kwanza anachokifanya dr slaa nikuingilia uhuru wa mahakama kwakujadili kesi iliyoko mahakamani,,huu ni uhuni na uvunjifu wa sheria amabo sikutegemea kiongozi wa juu wa chama kufanya.!
Pili mtu yeyote mwenye kesi mahakamani ana haki yakuomba msaada wakisheria kama anahitaji bila kujali msaada huo anupata kwa nani?awe ni Kinana au Mwanakijiji kutoka Singida,,hivyo walalamikaji kama wameomba msaada wakupatiwa mawakili sheria haikatazi,,!
Tatu,tumeshuhudia kesi nyingi za rufaa ambazo chadema wameshinda,,Arusha,Ubungo kwa uchache wake lakini viongozi wa chadema walikuwa wa kwanza kuisifu mahakama iweje leo wakose uvumilivu nakuiacha mahakama ifanye kazi yake?mbona CCM haikulalamika kwenye kesi chadema walizoshinda?
Nne,,Kinana ni kiongozi makini,hajawahi wala haitatokea akafanya upuuzi wa namna hii,,kama dr slaa anaushahidi na anacho zungumza ni vema akakiweka hadharani badala yakuwahadaa watanzania anapoona hali ya kesi inambana Lisu,,!!
Mwisho,,Ushauri wangu kwa huyu babu,Kinana siyo saizi yako utapasuka mapafu ukitaka kushindana nae,,badala yakutunga uongo na majungu ungetumia muda huu kujenga chama chenu na kujifunza kutoka kwa CCM,,!!
Gari alikopeshwa akiwa bungeni na amelipa,wakuu wamikoa magari ni fedha ya serikali,uzee wa Slaa huwezi kuulinganisha na wa Kikwete ambaye nyumbani kwake siku hizi ni nchi za watu,huyo ndio utakayesema kazeeka vibaya anakimbia wananchi,hawezi kukaa nao,nchi inayumba sijui kile kifafa cha kuanguka anguka kimemla ubongoMzee slaa anazeeka vibaya, alichonichekesha zaidi ni pale alipokemea wakuu wa mikoa kumiliki magari ya 2oomilioni ili hali yeye mwenyewe alifika kiwanjani alipokuwa anapiga porojo hizo na gari ya gharama hiyohiyo. Kama siyo kuzeeka vibaya nini? Tumsamehe
Babu anatumika kutuhujumu.
Tena kuna tetese kwamba 'magamba'wanapanga kumtumia ili kukipoteza CHADEMA kabla ya mwaka 2015.
Wanachadema tusipokua makini huyu mzee atatuhalibia safari yetu ya ukombozi.
Babu must go bhana!
Hivi Tanzania hakuna siasa bila Dr Slaa?
Hivi mnadhani kumuandika sana ndio kuichafua CDM? Imefika mahali tukiona thread kichwa cha habari ni Dr Slaa wengine hatakuisoma hawataki maana ni hoja za kitoto tu!