Dr Slaa ninamashaka na upeo wako,,!!

hakuna shaka, DR SLAA ni msumar tena wa mto kwa ccm,. ndiyo maana mnamsema sana. je ni kwa kiwango gari maneno yenu yamefanikiwa kumdhibiti yeye na cdm kwa ujumla?. changes is seems to be unstoppable, let cdm lead it.. ccm is th main victim
 
Your thread lacks substance! Upuuzi mtupu. Intelijensia ya chama imenasa mpango, wala hakuna kesi mahakamani. Akili za ajabu kweli
 
Ukikubali kutumika (cheap labor) ujue hapo ndiyo mwisho wako! maelezo ya press release yako very clear tena yamo humu jf halafu unakuja na vitu vya ajabu mbona vijana tunajidhalilisha? Mengine uliyotakiwa kufikiri mara mbili kabla ya kuandika ni kusema;

  • Eti Kinana ni Kiongozi makini ( are you sure ) ujangili wa tembo.
  • Eti Kinana siyo size Slaa ( mbona aligwaya kwenda ITV kufanya kipind na Slaa) acha unafiki.
 
Vijana ambao akili zenu zimetekwa na ccm polen sana chama kina miaka zaid ya 50 hakna cha maana zaid ya wizi, au na nyie mnajiandaa kuja kuiba? mtakta nchi ipo cdm sijui mtaibaje? badiln fikra zenu waachien ccm wenye nayo kama akina kinana.
 
Jana ulikuwa wapi wakati taarifa hii inaambaambaa hapa JF?Mbona alionyesha ushahidi wa barua?Ushahidi gani unahitaji?Gazeti gani ulilosoma wewe amabalo limepotosha?Hakusema ameweka wanasheria makini, kwanza kama ni uanasheria makini basi huyo Lissu ndio makini zaidi.Fuatilia habari vizuri kabla ya wewe kutoa shutuma hapa kwani tutakudharau.
 
mkuu tuwekee hilo gazeti hapa, kuna uwezekano mkubwa wamechakachua! Pia sijaona cha msingi ambacho chadema wanaweza jifunza toka ccm! Yepi? Ya kufungulia watu mashataka nje ya taratibu?
 
Kwa kumsaidia tuu mdau aliyeanzisha mada. Pengine hakuiona hii

 

Hakika mawazo yako yanaonesha hauko huru.ikiwa Dr Slaa ambaye kwa asili siasa kaanziia hukohuko ccm,leo awe mtu wa kipekeee aliye sawa na malaika.Slaa ni binadamu kama ulivyo ama tulivyo period.
 
mimi nilicho kiona dr slaa nimuoga kama yeye anauwakika tundu lissu alishinda kialali sasa anaita waandishi wahabari kwa ajiri ya nini?hii inaonesha kwamba babu dr slaa ni muoga na anajua mahakama ya rufaa ita mnyanganya ubunge tundu lisu.kinana kama unampango huo please alakisha kwenda mahakamani ili uyu jamaa aondolewe mapema na tupumuziki na kelele za bungeni
 
Kama kweli dr alitoa masharti ya kulipwa kama mbunge ndiyo agombee, basi anaweza kutaka pesa nyingi kutoka magambani iliasigombee

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Ala! kumbe mnamwogopa Tundu Lissu!
 
Kuishia standard 7 ni makosa ya magamba maana hawataki upate elimu bora ya kukusaidia, lakin kushindwa fikiri kabisa ni matatizo yako binafsi. Jitahid kufikirisha akiri yako kabla hajafikiria, acha. Humjui dr wala kinana, so kaa kimya
 
Mkuu, na mimi binafsi nina mashaka na viongozi wa kisiasa wa nchi hii, sidhani kama wana nia nzuri na nchi hii au wanajari matumbo yao tu. Mfano katika ile clip ya Mh Lipumba akiwa Msikiti wa Idrisa anasema kuwa "Ukiona dola yenyewe inashindwa na wanalalamika vipi kuhusu wewe raia wa kawaida?" Hapa alitolea mfano CCM yenyewe inafungua kesi ya uchaguzi dhidi ya vyama vya upinzani halafu chama cha upinzani kinashinda hii inamaana Serikali haijajipanga vizuri. Hii inamaana kwa mujibu wa Lipumba, Serikali haiwezi kushindwa katika kesi yoyote itakayofunguliwa kwa maana wenyewe ndio wanakamata Dola.Kwa upande wa CHADEMA wameshinda Rufaa ikiwemo ile ya Mh Lema na wakaipongeza mahakama kama ulivyosema hapo juu. Sasa iwaje tena waogope tena kuona mahakama kama ile ile iliyompa ushindi Mh Lema katika rufaa yake dhidi ya Mh Lisu? Hapa ni kweli kabisa ni kuingilia uhuru wa Mahakama na kuona kama wao ikitokea kama watashindwa basi watakua wameonewa.Kwasasa naona ni afadhari wafuate ushauri wa Lipumba kwa maana hamna hata mwenye shukrani katika hukumu za mahakama na wamesahau kua "HAKI INAPOTOLEWA HUWA KUNA UPANDE MMOJA UTAKUWA UMETENDEWA HAKI ZAIDI YA YULE MWENYE HAKI NDOGO"
 
Tupo uwanjan Dr. Slaa anatema madini adim. Kiwanja kimejaa mbaya
 
Hakika mawazo yako yanaonesha hauko huru.ikiwa Dr Slaa ambaye kwa asili siasa kaanziia hukohuko ccm,leo awe mtu wa kipekeee aliye sawa na malaika.Slaa ni binadamu kama ulivyo ama tulivyo period.
Nina uhakika mawazo yangu yako huru. Nimelinganisha upeo kwa vigezo ambavyo mtoa mada hakuvitaja mimi vyangu nimevtaja. Na kwa vigezo hivyo naomba ujipime na ujilinganishe.

Mimi sitaki kujilinganisha na wewe ili ubakie na mawazo yako unayodhani ni huru.
 

Ww ujaisoma ripoti ila umesimuliwa alafu ukakurupuka.....
 
INAWEZEKANA KUSOMA HUJUI NDO MANA ULICHOANDIKA NI OFFAL, ANGALIA HII ILI UJUE KILICHOJIRI
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=0svHP-kI7II
 

wewe ndo mpuuzi na li ccm
 

Patriote, umeiweka vizuri sana; tatizo ni kama huyu kijana aliyeleta mada ataweza kuielewa kutokana na upeo wake ambao umeshautilia shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…