swali langu kwa dr Slaa akimaliza kuhutubia hoja yake ya uzalendo wa nchi,itakua chanzo cha yeye kulipwa 7.5 milioni alikitoa wapi? pili kwa nini mshahara wake na chadema hwalipi kodi? nina wasiwasi hata jibu maswali haya!
kaahirishakuna thread inayohusu dr.slaa kuwa moshi leo j/mosi.tatizo cdm huwa hawana updates.wa huko moshi sijasikia chochote,taarifa ni kongamano la duce pale chang'ombe na dr hakuwepo.labda kama katoka moshi kaja dar kwa choppa.
thanks kwa habari yako nimeshafika sehemu ya uwanja watu wamejaa wakimngoja Dr. slaa ,
Tupeni habari,ninashauku sana kujua kinachoendelea huko