mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
mbowe hujuianatishiwa na mizimu?
Mkuu source ni kijarida cha Raia Tanzania wala si RFA magazeti.
Natoa wito kawa jeshi la polisi wampe ulinzi Dr.Slaa kwenye hiki kipindi kigumu yeye na familia yake.Dk amesema anatishwa yeye na familia yake. Akielezea amezidi kusema kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe mimi sitang"ang'ania.
Chanzo: Rfa magazeti/RAIA TANZANIA.
Hiki kijarida kwa sasa kinapiga hela kupitia umaarufu wa dr slaa
Dr.Slaa lazima ajue umuhimu wa kuigawa CCM.Na ujio wa Lowassa ni faida zaidi kwa chama na mageuzi.....Lowassa ameshajiandaa wakati naona Dr alikuwa bado.
Dr.slaa aongezewe ulinzi la sivyo yatamkuta ya chacha wangwe
Kwasasa mwenye access na Dr.slaa ni gazeti la Raia Tanzania Tu! Kazi kweli kweli!
Slaa akitoka na wengine wanaingia. Kama ana ugomvi wa kugombania wamama na Lowassa asiulete kwenye mambo muhimu ya Chama. Hii ni roho chafu ya kisasi. Ina maana alimwekea Lowassa kisasi cha nini hadi hataki aingie CDM. Yeye naye alikuwa CCM mbona alikaribishwa? Haka kazee kasituletee tabia ya ubinafsi hapa!!!!
Mnashangaa nini? Chadema waliwahi kumpiga mlinzi wa Dr Slaa, hivi karibuni.
Haya mnamkumbuka Chacha Wangwe?
Mbowe ni muuaji mzuri tu.
Ukweli Wa mambo anaujua dr slaa mwenyewe mi nadhani reliable source ni yy mwenyewe tusubiri pale atakapoamua kutoka maelezo namheshimu sana Dr kafanya kazi nzuri sana na siamini kama kweli unaweza kuondoka CHADEMA japo kwenye siasa lolote lawezekana binafsi namkubali sana kuliko MTU yeyote ndani ya chama ikitokea ataondoka mm ataniacha pale pale
Natoa wito kawa jeshi la polisi wampe ulinzi Dr.Slaa kwenye hiki kipindi kigumu yeye na familia yake.
ni kweli akubaliane na maoni ya weng ila huo msemo w maoni ya wengi pia bado una utata. wengi wa aina gani wangapi wanaweza kua sawa na wachche wa aina nyingine wangapi? hawa wengi/ wa kugawiwa nguo/ zidumu fikira za mwenykiti ndo wawe sawa na thinker km slaa?
Kama mtakavyopoteza kwa Lowassa ambaye HATAKUWA rais
Kwani wanachoandika ni uwongo?
Mbona hakanushi
Ndiyo viongozi wa Tanzania walivyo, wnang'ang'ania mambo hata ambayo hawayawezi.
Kiuhalisia Dr.Slaa uwezo wa kuiondoa ccm madarakani hana ila anataka bado tuendelee na yaleyale kuwa CCM mafisadi huku tukishindwa kuwatoa.
Raia Tanzania ni kijalida cha ccm! Ingawa mmiliki ni jenerali Ulimwengu lkn nashangaa saaanaa