Hivi hilo gazeti linamilikiwa na gamba gani?
Mkuu hata mimi nashangaa maana kila habari ya uongo kuhusu UKAWA Dr. Slaa imeandikwa na haka kagazeti. Sielewi mchango mpya wa sheria mpya ya mtandao kwa nini haiingilii upoyoyo kama huu unaopotosha umma.
Raia Tanzania liliyumba sana kimapato mwanzoni mwa mwaka huu, naona kupitia slaa mapato yataongezeka.
Dr.Slaa usipoangalia watakuuwa.maana lowasa kashaingia.
Mkuu source ni kijarida cha Raia Tanzania wala si RFA magazeti.
Vipi umegundua njia pekee ya kusalimika kushinda ni Dr. Slaa atoke chadema maana na shangaa makada wote wa ccm ndio wako karibu na Dr Slaa. Ajabu hii wasemaje wa Dr Slaa ghafla wamekuwa makada na wanachama wa ccm.kulikoni !!??Dk amesema anatishwa yeye na familia yake. Akielezea amezidi kusema kama ni mapenzi ya mungu yatimizwe mm sitang"ang'ania.
Source: Rfa magazeti./RAIA TANZANIA.
Huu ni wakati wa kuung'oa mfumo uliopo ambao ndio unaokuza ufisadi wa viongozi na kuongeza shida kwa wananchi.
Kila jitihada inahitajika hapa. Kama Dk ana likizo fupi sawa ila kama amesusa kwa hasira za kutokuwa mgombea basi abadilike ajitokeze na aonyeshe ana uchungu wa kutosha na nchi hii, na si kutaka urais tu.
Sijui magazeti ya Raia Tanzania yakoje. Yanajiaibisha sana. Hivi Jenerali amekuwa hivi? Sitaki kuamini, ila macho yanaona.
Kazi imeanza
nilisiki jemedari wao amesema yupo likizo tusubir wiki iisheChama kikuu cha upinzani Tanzania hakina access na katibu wake mkuu na wala hakionyeshi jitihada za kujua aliko kiko busy na Yule kiliemuita fisadi for years!