GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,417
- 127,510
Mussolin5 njoo huku utuondolee mtu wako umrudishe kule alipokukimbia
Nimemkimbia au yeye ndiye kanyoosha mikono hadi anawatumia members humu kuwa yaishe? au nikuwekee hapa pm za hao members ujiridhishe? Hakuna wa kunitisha humu haswa ktk vita ya cyber war na mimi na huyo huyo uliyemtaja hapo mwambie siku nyingine asipambane na id hii na zote hizo 13 asizozijua kwani ataumbuka. Wewe hujiulizi tu ni kwanini watu tupo humu 24/7? Mnalala mnatuacha na mnaamka mnatukuta? Si alisema kuwa ananijua tena kupitia sijui id's mbili na nikampa go ahead kuwa amwage vitu hadharani kisha na mimi nimwage vitu vya mkewe humu hadharani tena kwa picha na namba zake za simu. Members wenzako walilizima hili suala naona na wewe umelianzisha sasa msije mkanilaumu.
Leo hii ndio nimekuja kuamini kuwa ulevi wa pombe ni jambo baya sana sawa na laana tu. Asante Mungu.
Acha vitisho vya kizamani ww
Acha vitisho vya kizamani ww
Achana nae huyo Mkuu,anadhani vitisho kila Mtu anaviogopa.
Nimemkimbia au yeye ndiye kanyoosha mikono hadi anawatumia members humu kuwa yaishe? au nikuwekee hapa pm za hao members ujiridhishe? Hakuna wa kunitisha humu haswa ktk vita ya cyber war na mimi na huyo huyo uliyemtaja hapo mwambie siku nyingine asipambane na id hii na zote hizo 13 asizozijua kwani ataumbuka. Wewe hujiulizi tu ni kwanini watu tupo humu 24/7? Mnalala mnatuacha na mnaamka mnatukuta? Si alisema kuwa ananijua tena kupitia sijui id's mbili na nikampa go ahead kuwa amwage vitu hadharani kisha na mimi nimwage vitu vya mkewe humu hadharani tena kwa picha na namba zake za simu. Members wenzako walilizima hili suala naona na wewe umelianzisha sasa msije mkanilaumu.
kinachokuwasha nini?hii habari! Humu ndani imeshakuja!!