Dr. Slaa: Natishwa

Mbowe na mashabiki wake wanaweza wasielewe madhara ya hii hatua wanayoipigia debe sasa, ila ukweli unabaki palepale kwamba Chadema sasahivi haijulikani inapigania nini. Mimi kama mwananchi wa kawaida sijui misingi ya itikadi ya Chadema ni ipi kwa sasa.Je ni kuingia ikulu tu; na wakishindwa kuingia ikulu Chadema watatuambia nini, wakati tayari wameshakana "principles" zao; kwamba wao ni chama kinachopinga ufisadi nchini? Najiuliza, next time Chadema watasafiri kwenda nchi tajiri kutafuta support ya kitu gani kama wameamua kwamba ufisadi siyo vita wanayopigana nayo?
 

utaelewa tu
 
Basi kama dr slaa alikua haijui maana ya demekrasia sasa hii ndio maana ya demokrasia na maendeleo yenyewe akomae na awe mvumilivu na unavyo ingia kwenye siasa kwanza ujipime na ukubaliane mambo yote sio kuzilazila huwezi kufika

Na usizani watu kila siku watakuwa wanakusikiliza wewe tu unaweza ukakomaa sana na cheo akapewa mtu mwingine siasa ndivyo zilivyo slaa haitakiwi kukata tamaa umepita mambo mengi sana hili kwako ni dogo kama ni mwanahakati wa ukweli na
Na kama dr slaa utaendelea kususia itaonekana yote yale alikua anafanya kwaajili upate kitu fulani lakini sio kutoka moyoni

Slaa haikutakiwa ulaumu sana kwasababu labda hata wangekupisha wewe ungeshindwa halafu baadaye ingeonekana haujui siasa huwezi jua mungu amepanga nini kwako na wanasema tenda wema nenda zako usingoje shukurani.
 
Huwezi kua juuya chama uachwe lazma tukoleze moto
 
Hawawezi kumuondoa labda atangaze yeye mwenyewe kujiondoa.Siunajua Chadema ina damu yake tehe tehe.
 
Kawashauri magamba

Huyu mzee nilimwambia mda mrefuhawezi kuwarais wa nchi hii sasa amefanywa toilet paper

huyu mzeeni mroho wa madaraka

Muda sio mrefu assadsyria3 utataga. Ni vyema mambo ya ngoswe ukamwachia ngoswe mwenyewe, kahangaike na yanayojiri hapo Lumumba badala ya kulala ukimuota Dr. Slaa wa ukweli na sio huyo wa kuchonga ambaye ameshindwa kukabiliana na uasi ndani ya club yake anayoiendesha kama chama cha familia na marafiki zake.
 
Last edited by a moderator:

Awesome!
 

Tumeamua kuhamishia magazeti JF? Ukweli mmoja utabaki tu nunueni magazeti yote ila kwa sasa kutubadilishia focus haiwezekani tena. Adui namba moja wa maendeleo Tanzania sio mtu ni mfumo, na mfumo wenyewe ni CCM tu. Kama kuhama kuacha chama kwa Dr Slaa kutasaidia kuiondoa CCM atakuwa amefanya jambo jema sana.
 
Chama dola ni bingwa wa propaganda kuhusu upinzani,Wamefanikiwa kwa kiwango fulani kumtumia mke wa Slaa kueneza sintofaham na hvyo kujivika nafasi mumewe sambamba na kudhibiti mawasiliano yake.Ikulu isingemfaa kama angeenda na mwanamke huyu.Tumeshuhudia viongozi wengi wengi wamebadilishwa msimamo yao kutokana na wake zao.Dk Slaa jitokeza hadharani ujibu sintofahamu inayoenezwa na wanaccm sababu binafsi nimechoka kusikia habari zako huku wewe umefungwa na mkeo.Je umekubali wanaccm wamtumie mkeo ili Chadema na ukawa kwa ujumla wajikwae?????????
 
Unajitambua?

Lengo la upinzani ni Kushika Dola Na wala si Kusindikizo Mwaka Hadi Mwaka. Kumbuka Hata Dr. Slaa Nae alitokea CCM;

Unaniuliza Ninajitambua au lah,ndg Yangu niko vizuri Sana politically and also academically.
 
Jana kuna wapiga kura 15000 wa jimbo la segerea wameamua kumfuata mbunge wao makongoro mahanga na kuahidi kuisaidia cdm kumpata mbunge jimbo la segerea

Swali la kumuuliza DR Slaa,amekubalije kuwa UKAWA yaani kuungana na vyama alivyowai kuvipinga alafu ajidai anamkataa Lowassa? N a hata kwako wewe unayeshabikia,unatakiwa ujiulize hivyo,Kuwa kama unamkataa Lowassa kupokelewa Chadema basi ungekataa na kuhoji kwanini waungane hao waliokuwa wanaonana maadui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…