Dr. Slaa nakushauri pumzika, Urais sahau

Dr. Slaa nakushauri pumzika, Urais sahau

Hivi kundi lililofeli linaweza kutoa ushauri unaomfaa mtu anayetaka kushinda???!!!!CCM ilishashindwa haina jipya zaidi ya wizi wa rasilimali za watanzania.msishauri ukawa cha kufanya.waambieni hao wagombea wenu walioshindwa kutimiza matarajio ya wananchi watawezaje kuyafanya yale waliyoshindwa kwa miaka zaidi ya 40tangu kuzaliwa CCM.leo wana miujiza ipi?
 
Una uhuru wa kutoa maoni yako .Imani yangu ni kwamba hatuchagui viongozi kwa sababu ya upya au ugeni katika siasa tunachagua viongozi ambayo wana agenda ya kutuletea maendeleo pamoja na uaminifu ambapo slaa anatosha
 
Back
Top Bottom