Tuache ushabiki, kujenga reli mpya na kununua trains mpya za kuweza kwenda masaa matatu mpaka Mwanza ni ndoto ya mchana na hiyo kazi haiwezi kufanyika within five years kwa Tanzania.
Trains zinazoenda speed ya 300km/h ni chache sana hapa duniani na kwa sehemu kubwa ni China na Japan na mara nyingi zinakuwa direct trains yaani hazisimami sehemu wala njia yake inakuwa haina kupishana na trains zingine. Je hata tuna watu wa kupanda trains kama hizo toka Dar mpaka Mwanza bila kusimama njiani au kusimama kituo kimoja tu?
Kiongozi ambaye atajenga upya reli ya kati ili iwe chini ya masaa 12 kufika Mwanza au Kigoma au Mbeya tokea Dar atakuwa amefanya la maana sana kwa taifa.
Tatizo la wanasiasa wetu wameona hata wakiahidi uwongo hatuwezi kuwauliza maswali magumu na badala yake tunawapigia makofi.