Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,429
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.
anaota kila siku mambo makubwa yatakayo fanywa na Dr Slaa. Mi namshauri Ganesh ahamie kipande hii ili pamoja tukomeshe ufisadi na kuleta maendeleo.Umeyasikia wapi haya mzee wa chama la kijani?
kwani kuna umbali gani kati ya Dar-Mwanza?
Well umbali wa treni toka Dar to Mwanza ni Kilomita 1229 Hii ni sawa na Maili 764 hivi. Matreni ya kawaida ya Diesel yapo yanayoweza kwenda hadi Kilomita 200/h sawa na 125/h. Kwa kutumia treni hii tuu kwa mwendo kasi ni wazi kuwa mtu anaweza kuondoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo kama ilivyo kwa mabasi.
Lakini kwa kutumia treni ya umeme ambayo yapo yanayoenda hadi kilomita 350/hr ina maana tayari humu humu duniani yapo matreni na teknolojia ya kuweza kufanya mtu kusafiri kutoka Dar hadi Mwanza ndani ya masaa matano (tukiweka na muda wa kupumzika n.k).
So ilani ya Chadema na ahadi za Chadema hawajajaribu kuahidi kitu kisichowezekana kwa teknolojia ya leo.
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.
Nadahani wewe ndiyo ukapimwe akili, by the way zile ndege za jeshi mpya vipi hamjanunua bado??????
Nimeishi duniani sasa ni robo karne, siku zote nasikia kuna mpango wa reli toka Tanga-Arusha-Musoma-Mwanza, then inaunganisha ziwani hadi Uganda, yote ni mipango kwenye sera za ccm, hii lini itafanyiwa kazi? Bandari ya Musoma kama vile Ilizikwa!Ama kweli watu mnakosa kazi yaani katika maswali yoote mnayoweza kuuliza hili la Treni kwenda Mwanza kwa masaa matatu ndio limekuwa hoja ya mgombea kweli. Jamani eeeh, mimi nachoomba ni reli ya kati na kaskazini zifanye kazi. haya ya masaa wala sina utaalam nayo kwani nchi yangu sasa hivi imetumbukia ktk shimo la choo - Inanuka..
Nchi haina usafiri isipokuwa wa malori, uchumi wetu umelala vibaya sana kazi kudanganywa tu kwamba uchumi unakuwa hali nchi nzima Usafiri, maji, Umeme yote sii mahitaji tena ila ni ndoto na tumerudi ktk maisha ya Ujima, leo hii taabu kubwa kuliko hata wakati wa Nyerere.
Yaani wee acha tu!Nimeishi duniani sasa ni robo karne, siku zote nasikia kuna mpango wa reli toka Tanga-Arusha-Musoma-Mwanza, then inaunganisha ziwani hadi Uganda, yote ni mipango kwenye sera za ccm, hii lini itafanyiwa kazi? Bandari ya Musoma kama vile Ilizikwa!
Mhh 3 hours is not attainable speed labda alikusudia 13 hours
Kuboresha usafiri wa reli ya kati na reli ya Tanga, Moshi hadi Arusha ili hatimaye iweze kuwa njia ya haraka, nafuu na ya starehe katika ya miji hiyo na Dar. Hii itakuwa ni pamoja na kurudisha Mamlaka ya Reli ya Tanzania (TRA) na kuhakikisha mamlaka hiyo inajiendesha kibiashara kwa kushirikiana na sekta binafsi.
Unafananisha na BASI mkuu; very dangerous kutoelewa tren za kasi zinakimbia vipi; na kumbuka hii ni investment kubwa sana