Usunga-Kijiji
Member
- Dec 26, 2013
- 15
- 0
Naona umehangaika sana kuanzisha thread tangu asubuhi baada ya kipindi. kwa kuwa huna unalolijua juu ya mauwaji yaliyotokea kwenye M4C pata dondoo zikusaidie kidogo.
1. M4C ya Morogoro aliuwawa kijana muuza magazeti mwenyeji wa Muheza mkoani Tanga, alikuwa anaitwa Ally Zona. Huyu alikutwa na tundu la risasi kisogoni, aliuwawa na polisi. Polisi ndio walirusha risasi ikamuuwa akiwa kwenye shughuli zake za kuuza magazeti baada ya Polisi kutaka kusambaratisha maandamano ya Chadema.
2. Mwandishi wa habari Daud Mwangosi aliuwawa mbele ya Inspector Kamuhanda, polisi walikuwa wanasambaratisha kikao cha ndani cha ufunguzi wa tawi kijiji cha Nyololo mkoani Iringa. baadae aliyekuwa waziri wa ulinzi na usalama akasema bomu lililofyatulia bila weledi ndio lilisambaratisha tumbo la Mwangosi na kusababisha kifo chake.
Baadae mwenyekiti wa ccm (JK) akiwahutubia wajumbe wa kamati kuu mkoani Dodoma akasema "...Na nyinyi acheni kuwatumia polisi kudhibiti nguvu ya upinzani fanyeni mikutano mjibu hoja zao..."
Unaweza kuhangaisha ubongo wako kidogo kwa kuchambua mantiki ya ulichokiandika halafu ujione kama miaka minne ya supplementary zisizoisha pale Muccobs kama una sifa ya kuwa GT.
Ni kweli kabisa, M4C nayo imeua watu sana ile.

Kuuwa wauwe akina kamuhanda et al. Kijiuzuru wajiuzuru akina slaa!
Mnaochumua tumbo ni ninyi mnaosimamia upuuzi na ushenzi.Kuandamana ni kudai haki na ni haki ya kila Mtanzania, Kinachowawasha nini kuhujumu maandamano, mikutano na vikao manpiga mabomu watu wasio na silha? huu ni uoga wa kifisi. Anaye takuwa kuwajibika ni aliyeamuru polisi wafyatue risasi na mabomu. Hampati usingizi mnahaha CHADEMA wakishika dola hana pa kukimbilia mnatumia mbinu na hoja mufilisi na mapandikizi kama zityo ili mradi mdhoofishe harakati. kipindi hiki hamchomoki hata mkiweka maskani kuzimu kama mlivyozoea. Jeshi la polisi, CCM mkiongoza na kikosi cha mauaji Mwigulu Nchemba, Msaidizi wake Lukuzi na Emmanuel nchimbi ndo mnaliteketeza taifa. Woga wenu unamaliza rtoho zisizo na hatia sasa mahangaika kutafuta viongozi wa Chadema!! Mkafie mbali wehu ninyi!!Sijawai kuona wapuuzi kama Vijana wa BAVICHA kwani hawanaga point za kusema zaidi ya kutukana na kulalamika tu bila hoja za Msingi nandomaana mmekuwa mkiuwa Raia wasio na hatia ktk M4C yenu ile nandomaana tunasema Hao viongozi wenu wachumia Tumbo na Matapeli wawajibike sasa kama kweli wanajua na wana Democrasia yakweli, Manake CCM kazi yetu ni Kuwafundisha Democrasia yakweli na Siasa sio Propaganda za CHADOMO.
waliouwawa kwenye M4C walioua na waliowatuma kuua wanajulikana serikali iwachukulie hatuaNimemsikiliza Makonda na Heche mdahalo Ch 10. Makonda katoa hoja ya kuwa mawaziri waliojiuzulu kwa madhila ya operesheni tokomeza wetufundisha
Wanasiasa kujifunza kuwajibika inapotokea matatizo kwenye shughuli tumazozisimia.... Huu ni ukiri mzuri...
Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
hivi walioua sio polisi waliotumwa na nchimbi?
Wachaga wameiharibu sana chadema!
...Hizi huwa haziwasumbui Mods ila Zinazomsema MM, unajua ni ngapi leo zilizofungwa au kuwa moved halafu closed immediately?Na hii thread uhai wake ni mfupi na itakndolewa tu
Mnaochumua tumbo ni ninyi mnaosimamia upuuzi na ushenzi.Kuandamana ni kudai haki na ni haki ya kila Mtanzania, Kinachowawasha nini kuhujumu maandamano, mikutano na vikao manpiga mabomu watu wasio na silha? huu ni uoga wa kifisi. Anaye takuwa kuwajibika ni aliyeamuru polisi wafyatue risasi na mabomu. Hampati usingizi mnahaha CHADEMA wakishika dola hana pa kukimbilia mnatumia mbinu na hoja mufilisi na mapandikizi kama zityo ili mradi mdhoofishe harakati. kipindi hiki hamchomoki hata mkiweka maskani kuzimu kama mlivyozoea. Jeshi la polisi, CCM mkiongoza na kikosi cha mauaji Mwigulu Nchemba, Msaidizi wake Lukuzi na Emmanuel nchimbi ndo mnaliteketeza taifa. Woga wenu unamaliza rtoho zisizo na hatia sasa mahangaika kutafuta viongozi wa Chadema!! Mkafie mbali wehu ninyi!!