Leo Kumefanyika mkutano wa hadhara ambao umekwisha muda mfupi uliohutubiwa na viongozi mbali mbali wa CDM, lengo la mkutano lilikuwa ni kupongezana wana CDM kwa ushindi wa kesi, katika mkutano huu Dr. slaa amewapongeza wananchi wa Igunga katika kufanikisha ushindi wa kesi hii kwani walijitolea kwa hali na mali, pia amewaambia Polisi waepuke kutumika kisiasa kwani mwisho wa siku uhaibika kwa kukamata wananchi wasio na hatia na kuwaachia huru kama wakiona hawawezi kuacha basi wavue uniform na waingie kwenye ulingo wa siasa. Pia amegusia tamko la CCM kutaka kukata rufaa juu ya hukumu iliyotolewa na amesema kila kipengele kilichotolewa hukumu kina ushahidi madhubuti hivyo CCM watajisumbua bure kukata rufaa. pia amezungumzia suala la Magufuli kuuganganya umma wakati wa kesi kuwa ni mgonjwa mahututi na kushindwa kuja kutoa ushahidi wakati huohuo adubuhi akionekana kujibu maswali bungeni na hii Dr. Slaa amesema kama serikali inakuwa na waziri anayedanganya adharani na makusudi basi hapo hakuna serikali kwa hiyo kama Kikwete angekuwa kiongozi madhubuti angekuwa amekwisha mfukuza kazi magufuli kwa uongo ulioidhalilisha serikali yake. mwisho amewataka wanachi wa Igunga kushiriki Sensa kikamilifu kwani ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa letu.
View attachment 62825 View attachment 62827 View attachment 62828 View attachment 62829 View attachment 62830
Bashe!!!!!! Mhmmmmmmmmmm!!!!!!!! Kwani wasomali siwananchi Yao kweli ccm imechoka mpaka inaajiri wasomali kwenye safu Yao ya uongozi kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Teh!Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Kuna sehemu nyingi zinazomhitaji tabibu huyu bora hata Igunga walimuonaLeo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Dr. Slaa anawakilisha wananchi wa Tanzania yote anapokuwa maeneo mengine ya nchii hii pia huwa anawakilisha wana Igunga Pia, Kuhusu hao akina Bashe unaowasema nafuu wasije maana mwakilishi wao DC ameitisha mikutano mitatu hakuna mwananchi aliyejitokeza ikabidi awabembeleze CDM waitishe mkutano na yeye aje ahutubie CDM wamegoma kumsaidia kwa hiyo ujue Igunga ya 1994 sio ya sasaLeo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
kumbuka lichimu likatulagwanhwezi maana yake mkuki haupigwi ngumi,mwambie ajalibu aone huyo basheLeo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.