Wana JF.
Natoa wito kwa viongozi wetu wa CDM Katibu Mkuu Dr.Slaa na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa pamoja waanze ziara kupita kote alikopita Zitto Kabwe wazimishe nguvu ya Zitto Kabwe. Na waweke kambi Kigoma wajenge chama.
Size ya zitto ni madiwani wetu Wa cdm wa maeneo husika tu!