stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Padri slaa na criminal washachanganyikiwa na Lipumba kutangaza nia
Zitto mtamjuwa october
ACT ikipata wabunge watatu nahamia Somalia.
Zitto ninayemjua mimi hawezi kuzmwa na hao unaowasema kwani wanamwogopa,hvyo mpaka amalze ndo waende. Kisiasa zitto ni baba wa hao ulowataja(Baba akikohoa,mtoto lazma utulie).
Chadema ikifuata ushauri huu wa kijinga nitashangaa sana, Chadema hapaswi kubadili adui muda huu, wao wapambane na CCM sio ACT, even kwny mikutano ya ACT haitajwi Chadema so nitashangaa sana wakiacha kupambana na Ccm wanaanza na ACT
ni kweli mkuu. ingawa adui wa adui wako ni rafiki yako. na rafiki wa adui wako ni adui wako pia.
tafadhali sana Zitto sio mpinzaniSio wazime nguvu za CCM tena! upinzani wa mwaka huu tutaona vituko vingi! yaani chuki ya Mbowe kwa Zitto mpaka anasahau kuwa ni mpinzani mwenzao!
Zitto ninayemjua mimi hawezi kuzmwa na hao unaowasema kwani wanamwogopa,hvyo mpaka amalze ndo waende. Kisiasa zitto ni baba wa hao ulowataja(Baba akikohoa,mtoto lazma utulie).
august tunatoka mazoezini tunaingia kwenye siasa kamili mutasikia vilio vya asaliti maana ccm wanakata cdm wanafunua.hapo ccm wanaatamia viti hawana ndugu hapo ndugu yao polisi na tisss .zzk mtamlilia