Sikubaliani na maelezo ya mleta uzi, ila Slaa alikuwa anatoa ahadi za kufikirika.
kauli zipi za kufikirika?
Sikubaliani na maelezo ya mleta uzi, ila Slaa alikuwa anatoa ahadi za kufikirika.
kauli zipi za kufikirika?
Hakuna kitu kinafanyika bila mchakato kwanza, mngempa urais muone kama ilikuwa danganya toto, saa hizi katiba tena ya bei nafuu ingekuwa inaandikwa, sio hii ya bei mbaya ambayo inamaliza mapesa yetu hata hatujui itakuja lini.Yale yale ya "Tuko kwenye mchakato". Nadhani angekuwa firm kwa kusema angetupatia Katiba Mpya ndani ya kipindi fulani; uwe mwaka ama miaka miwili lakini eti Mchakato ungeanza baada ya siku 100 bila kutaja ungeisha lini ilikuwa kama danganya toto vile.
Hakuna kitu kinafanyika bila mchakato kwanza, mngempa urais muone kama ilikuwa danganya toto, saa hizi katiba tena ya bei nafuu ingekuwa inaandikwa, sio hii ya bei mbaya ambayo inamaliza mapesa yetu hata hatujui itakuja lini.