Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

Ahsante Mungu kutupa wazee wenye busara ambao daima hawatetereki katika kusimamia maslahi mapana ya nchi. Uishi Dr. Slaa
 
Kingunge alikuwa mfuasi wa Lowassa tangu CCM.Hakuna jipya hapo.

Mrema anajulikana msimamo wake tangu bunge maalumu la katiba.Mrema ni mfuasi wa CCM.

Babu Slaa ni Mnafiki.July alisema akipata urais atamfunga Magufuli kwa sababu ya uuzaji wa nyumba za serikali.Leo anasema Magufuli ni safi.Huu ni usaliti na unafiki katika kiwango cha kimataifa.
Sisi chadema ndio wanafiki. Tulihubiri tangu mwaka 2008 kuwa lowasa na group lake ni majizi mafisadi ya kutupwa, pia tulitumia gazeti la Mwanahalisi la Kubenea. Mbona leo tunasema ni msafi kama theluji? ??
Haya nyumba za nhc lowasa na Sumaye nao wamenufaika.
Haya uuzwaji wa nyumba za serikali Sumaye ndio alikuwa waziri mkuu ndie alisimamia mauzo yote kama mtendaji mkuu wa serikali
 
Jamani nimemsikiliza Dr Slaa na nimepata tumbo la kuhara.
Siamini kama leo Dr Slaa anampigia debe Magufuli!
Ama kweli Dunia ni duara!
Dooooooooooooooooo. Hatari kubwa!
Ni pesa au nini jamani? Au ndio shemeji hatupendi tena? Hebu nijulisheni!

Lazima upate tumbo la kuhara
N kawaida yenu kuhara hovyo kama alivohara mgombea wenu lowasa kule chato
 
Magufuli haogopi kwa kuwa anajua kura za CCM zitajazwa katika masanduku kupitia Vituo feki zaidi ya 20,000 nchi nzima na kadi za kupigia kura za vituo hivyo zinatengenezwa uchochoro na BVR tulizodhani zimehifadhiwa.
 
Ushauri/maoni ya Slaa yamechelewa sana kuweza kuleta negative impact kwa wapiga kura wanaotaka mabadiliko. Mbaya zaidi anaonekana anatumiwa na sio kujisimamia.
 
dr Mihogo amekwisha expire hana thamani tena
Kuweza kumbakisha Josephine kunahitaji fedha,atazipata wapi isipokuwa za wizi wa mafisiem?
 

Attachments

  • 1444365655788.jpg
    1444365655788.jpg
    29.8 KB · Views: 229
Slaaa anahangaikaaa kama chizi ntozeni.....ivi hana cha kufanyaaa..tumpuuuze Pesa alizopewaaa. Ndizooo zinampelekesha huenda mwenyewe hapendii
 
shida ni ileile ya watanzania kuonekana malofa hawana akili zao za kujiwezesha kutambua mchele na pumba.hivyo wao wanathani ndiyo wanazo akili za kuwainject watz.lakini la pili ni pesa,slaa atakuwa amepata pesa na siyo bure lakini la pili ni ubinafsi wa yeye kufikiri angekuwa ndiye anayefaa kuwa raisi wa Tanzania.la tatu anaweza kuwa ni mnafiki.hana kipya cha kunieleza maana kama ni maendeleo alishatueleza ccm haiwezi kuleta tena maendeleo hata angekuja kiongozi malaika.

mnaleta raha sana.. alichosema slaa kisibadilike ila ya kuwa lowasa fisadi yabadilike au sio....
 
Huyu mzee ni mkweli,tatizo watanzania wengi wanataja kufanya maamuzi ya hasira na mwishowe kujuta,
 
Kangaroo wa kimburu anaishia kupiga kelele kwenye vyombo vya habari wakati wenzake wakiendelea kumuvuzisha Sera majukwaani. Aliye sema apewe ulinzi ina bidi apewe ulinzi kweli maana huku nje hakufai. Akichomoza kilofa lofa Watanzania wenye kupenda mabdiliko hawata muacha salama.
 
Back
Top Bottom