Acha kuota,ccm ina wenyewe na wenyewe sio magufuli
Kwa jinsi povu lilivyokutoka, ni wazi kuwa uliahidiwa kiofisi na kidawati pale Ufipa...pole kazi ya ukarani ushaikosa. Jaribu tena 2025kichwa chako kimejaa ma.vi kila thread unatupia huo ujinga wako!
Huyo Slaa na Lipumba tayari walishakabidhiwa chao kwa ajili ya 'special mission' ya kuiangamiza Ukawa, sasa unataka CCM baada ya tayari kupata kile walichokuwa wanakitaka wataona tena umuhimu wa hao watu?Nawaona kama watu muhimu katika serikali ya Dr Magufuli endapo watapata nafasi kwani wamekuwa wakionyesha uwezo wao katika nyanja mbali mbali za kisiasa. Ni mawazo yangu lakini.
Dr. Slaa katika mambo ya kimataifa anafaa sana.
Sendeka pale bungeni anafaa sana katika kujenga hoja
Lipumba katika mambo ya uchumi pia anafaa.
Mghwira katika mambo ya maendeleo ya jamii akishirikiana na Mama Magreth Sitta watasaidiana kutatua changamoto nyingi za jamii.
Nawasilisha.
Ana mughwira,amwamwimbie wamuombee kwa ccm amewe ubunge wa viti malumu kupitia viti kumi vya Rais
Kwa nini tunapenda sana ku-recycle viongozi? Hawa wote uliowataja walishapata nafasi wakafanya walichofanya. Kwa nini tusiwape nafasi watu wengine wenye uwezo zaidi? Kwa nini baraza la mawaziri lisiundwe na technocrats? Kama walivyofanya Kenya? Mama Sitta, Ole Sendeka watatusaidia nini karne hii ya 21 zaidi ya kutupotezea muda? Tufikirie nje ya box. Tusifikiri kwamba nafasi za uongozi serikalini ni kulipana fadhila au zawadi kwa washirika wetu. Hivi kweli bado unaamini tunahitaji hawa watu kama tunataka kujenga uchumi wa kisasa, unaoendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia?
Ana mughwira,amwamwimbie wamuombee kwa ccm amewe ubunge wa viti malumu kupitia viti kumi vya Rais