Dr makini anaeitendea haki taaluma yake na kipaji chake alichopew na mwenyezi mungu bila kuwalaghai na kuwanyanyasa watz kama wafanyavyo wengine waliolaaniwa kama vile kina dr. Chimbi na nhemba
Mambo ya UDSM utayajulia wapi!? mtu mwenyewe ata Veta hujafika.
Mambo ya UDSM utayajulia wapi!? mtu mwenyewe ata Veta hujafika.
Hapa Muhimbili wanafunzi wako vikundi vikundi kujadili ujio wa Dr Slaa.Kila mtu ana shauku kujua atakachozungumza!
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
Hapo ujue anatafuta mchumba mpya
Sita hana nia ya kugombea urais
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
huyu mzee nasikia anunguruma je ameshakua BUNDI au?
Zaidi ya kusema amedaka nyaraka za siri, kuna lingine tena?
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
Zaidi ya kusema amedaka nyaraka za siri, kuna lingine tena?
Habari za Mkuranga Enock?
Mzee Slaa sasa amekuwa wa kuzindua matawi?
Kweli yuko kwenye zama zake za mwisho siasani.
endelea kutega sikio mkuu , maana wananchi wote wanasubiri kitakachojiri , na huenda kamati kuu ya chama chakavu ikakutana kwa dharula jumatatu kwenye ofisi za serikali !
utawajua wachawi tu mawazo yao ni bundi bundi kama lichamalao lilivyo
haishangazi habari hii kuwa kubwa , maana UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU , AKIFUATIWA KWA MBALI SANA NA PAUL KAGAME .
Safi sana wasomi kwa kujitambua.
Dr. Slaa ni tishio sana kwa maccm