nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
...kama wapotoshaji wakubwa kama ccm walahi!...mabingwa wa kupotosha
...kama wapotoshaji wakubwa kama ccm walahi!...mabingwa wa kupotosha
Kachelewa Sana lisu yupo uchi kule slaa akapumzike na wifi yetu mushumbuzi Josephine
kumbe slaa ni mwanga, anaenda kupuliza uchawi singida...hatudanganyiki
Dogo tuheshimiane, kumuita babu sio tusi umri unaruhusu.... Sawa?Babu yako kakuzalia nani kati ya baba na mamako?? Au unakopi akili za nepi na gaidi mwigulu??
kumbe slaa ni mwanga, anaenda kupuliza uchawi singida...hatudanganyiki
babu angetulia, aunde timu aende.... Singida sio sehemu ya kwenda harakaharaka
naona babu anavizia nyayo za mh.kinana.
Muwe mnaeleweka basi DR Slaa atatikisa kiuno chake akiwa Singida au atatikisa nini?
Naona BABU anavizia nyayo za Mh.Kinana.